Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kama haiwezi kukamilisha mradi kula hiyo hela bila huruma, tafuta nyingine itakayoweza kukamilisha.Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub.
Nianze na nini na nini?
Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
Poor brain kweli kweli nimeanza biashara na mtaji wa 50000 nikiwa na viti viwili pamoja na benchi na nikiwa na ambias nusu katon +sigara +majiKwanini hiyo pesa usiiweke mpaka ufikishe milioni saba mkuu ukafanya kitu cha maana kuliko hivo unavotaka kufanya wewe
1M kwa shidaNitakuuzia showcase friji na friza ndogo kwa bei nzuri,kasabufa flanin ka 80k sio mbaya.
Then viti na vimeza utanunua mwenge pale suma jkt kwa mwanangu mmoja kwa bei chee.
Achana na masuala ya vibali na leseni hivyo vitakukuta mbele ya safari.
Kwa kuaza 1M inatosha kabisa
Toa Breakdown ya hio bajeti ya 7M taona / tutaona ni wapi tunaweza kupunguza na kuondoa; Acha tu Milioni moja watu wanaweza kuanza kwa benchi na vifaa vya kuazima; pia unaweza kuanza hata na milioni mia moja ukawa unakata mtaji kila siku wa wapuuzi kukopa na kutokulipa au wadau kuacha kuja sababu hakuna wadau wao wa kitaa..., au hakuna vibe zinazowavutia sehemu husika (know your customers)Uwezi anza glocary na mtaji wa milion moja ni kama unacheza..
Ndo mana nikatoa ushauri tu
Kwann?Biashara zimebakwa
Utakua unachezaKuunza ndizi mbivu stend
Hmna kazi hapoPoor brain kweli kweli nimeanza biashara na mtaji wa 50000 nikiwa na viti viwili pamoja na benchi na nikiwa na ambias nusu katon +sigara +maji
Umeweka vyema mkuu1M kwa shida
Leseni muhimu siku hizi wanavamia usiku
Subwoofer hiyo bei sawa
Viti na meza laki 2 ya kuanzia sawa
Counter?
Vinywaji je? Walau katoni 4 za maji
Bia crate 2
Soda crate 2
Pombe Kali katoni moja moja
Juice?
Pango?
Ndio maana kasema anunue baadhi ya vitu aweke ndani kwanza
hiyo pesa haiwezi kutosha,yaani creti za bia,soda,vinywaji,kodi ya pango,kukarabati eneo humo humo???huo ni mchezoooNitakuuzia showcase friji na friza ndogo kwa bei nzuri,kasabufa flanin ka 80k sio mbaya.
Then viti na vimeza utanunua mwenge pale suma jkt kwa mwanangu mmoja kwa bei chee.
Achana na masuala ya vibali na leseni hivyo vitakukuta mbele ya safari.
Kwa kuaza 1M inatosha kabisa
Mmmmh ushauri mbovu huuKwanini hiyo pesa usiiweke mpaka ufikishe milioni saba mkuu ukafanya kitu cha maana kuliko hivo unavotaka kufanya wewe
Kwann uwe mbovu mkuu...Mmmmh ushauri mbovu huu
Ndo watu wanaanzaga hivyo mkuuPoor brain kweli kweli nimeanza biashara na mtaji wa 50000 nikiwa na viti viwili pamoja na benchi na nikiwa na ambias nusu katon +sigara +maji
We nawe kumbe kichwani maji. Amesema anunue aweke ndani ili aendelee kujikusanya, sio kwamba hiyo M ndo anafungua biashara. Unakimblia wapi kwani?Uwezi anza glocary na mtaji wa milion moja ni kama unacheza..
Ndo mana nikatoa ushauri tu
Mchanganuo mkuu kwa kila kimoja1. Friji
2. Leseni
3viti na meza
Nipe mchanganuoUwezi anza glocary na mtaji wa milion moja ni kama unacheza..
Ndo mana nikatoa ushauri tu
Ki glosari tu cha kishkaji angalau kwa siku kiingize elfu 10 ya faida baada ya kutoa makato yote.1M kwa shida
Leseni muhimu siku hizi wanavamia usiku
Subwoofer hiyo bei sawa
Viti na meza laki 2 ya kuanzia sawa
Counter?
Vinywaji je? Walau katoni 4 za maji
Bia crate 2
Soda crate 2
Pombe Kali katoni moja moja
Juice?
Pango?
Ndio maana kasema anunue baadhi ya vitu aweke ndani kwanza
Sa milioni saba unaifanyia nini? Biashara ya kueleweka walau mil kumiKwanini hiyo pesa usiiweke mpaka ufikishe milioni saba mkuu ukafanya kitu cha maana kuliko hivo unavotaka kufanya wewe