Nina Millioni 1 nataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua grosari (mini pub)

Nataka ya kawaida kabisaa
 
Na ndio hapo niliposema hapo juu mtaji sio fedha pekee wala faida sio jumla ya mauzo kutoa manunuzi huyo huenda amepiga matembezi siku nzima na kupiga sound mpaka mdomo umekauka na bado kuambulia matusi na watu kumletea story ambazo haziendani na biashara yake....
Wengine hata huwa hawana mtaji ni uaminifu tu anaenda kwa wauza ndizi wa jumla anapewa jioni au mchana anarudisha hela
Kama nilivyomwambia jamaa kwenye post yangu mtaji sio pesa pekee bali nguvu kazi na skills pia (tena hizi ni zaidi ya pesa) ukikosa hizo hata ukipewa trillioni baada ya miaka kadhaa utakuwa umekata mtaji
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nacheka huku nimechoka, kwamba leseni watasamehe kisa mtaji mdogo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Grosary ya million moja ni kwenye kakibanda tu, ni kama machinga flani hivi,sidhani kama watamkomalia leseni
 
Hujawahi kurembea Dar ukaona wale wanaouza bia, konyagi mezani? Wale wana leseni?
Wanafanya kosa, kuuza vileo popote pale inabidi uwe na leseni ya vileo achana na hii tu ya kawaida ya biashara bali na ya vileo pia; Hao unaowaona ni kwamba wanavunja sheria..., Bora ingekuwa biashara ya kawaida ungesema wewe ni machinga na una mtaji chini ya 4M hence una kibali cha Machinga pekee (kama bado vipo)
 
Hata machinga wanatakiwa wawe na leseni na TiN ila hawana,ndiyo bongo ilivyo
 
We nawe kumbe kichwani maji. Amesema anunue aweke ndani ili aendelee kujikusanya, sio kwamba hiyo M ndo anafungua biashara. Unakimblia wapi kwani?
Hata kwa kuanza hapana hiyo bado haitoshi mkuu ni ndogo kabisa an
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…