Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kuna watu hapa wanaanza kunishambulia..Sa milioni saba unaifanyia nini? Biashara ya kueleweka walau mil kumi
Ahahahha kubabek😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Ndiyo yale ya mteja anakuja anaagiza Safari lager anaambiwa zimeisha na akiagiza Heineken anaambiwa pia zimeisha.
TIN ni number ya mlipa kodi kwahio wewe hata kama una leseni ya udereva, ulishaagiza mzigo au ulishawahi kulipa kodi popote pale unatakiwa kuwa na hii number; Leseni ni kibali cha kufanya biashara fulani kwahio machinga ambao mtaji wao ni chini ya threshold fulani hawana ulazima wa kuwa na leseni ya kufanya umachinga (au muuza genge la nyanya) ukija kwenye vileo ina leseni yake tofauti / ya ziada inaitwa leseni ya vileo; kwahio wewe hata ukiwa na duka lako la bidhaa nyingine na una leseni ya duka; kama unauza vileo watakuuliza leseni ya VileoHata machinga wanatakiwa wawe na leseni na TiN ila hawana,ndiyo bongo ilivyo
Kuuza chenji tu mtaji mil 5Kuna watu hapa wanaanza kunishambulia..
Hv seriously mtu anajipanga et biashara aanze na milion 1 hapo anafanya biashara au anacheza
Kuna ambao unawaona mtaji wao umezidi kabisa na hawanaTIN ni number ya mlipa kodi kwahio wewe hata kama una leseni ya udereva, ulishaagiza mzigo au ulishawahi kulipa kodi popote pale unatakiwa kuwa na hii number; Leseni ni kibali cha kufanya biashara fulani kwahio machinga ambao mtaji wao ni chini ya threshold fulani hawana ulazima wa kuwa na leseni ya kufanya umachinga (au muuza genge la nyanya) ukija kwenye vileo ina leseni yake tofauti / ya ziada inaitwa leseni ya vileo; kwahio wewe hata ukiwa na duka lako la bidhaa nyingine na una leseni ya duka; kama unauza vileo watakuuliza leseni ya Vileo
Huko ni kuvunja sheria na mtu akija kukuomba ushauri je utamshauri kwenye kadamnasi kabisa avunje sheria au yeye mwenyewe ndio ajiongeze ?Kuna ambao unawaona mtaji wao umezidi kabisa na hawana
Toa kalaki kamoja, agiza kreti la castle lite, konyagi ndogo, kunywa na Wana, hapo hapo pub ulipo fanya tathiminiNina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub.
Nianze na nini na nini?
Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
Ni kweli nawaona wengi wa hivyo. No city vinafanyika sanaHuko ni kuvunja sheria na mtu akija kukuomba ushauri je utamshauri kwenye kadamnasi kabisa avunje sheria au yeye mwenyewe ndio ajiongeze ?
Binafsi najua dogo mmoja alitoka Bush na kuingia town akafungua genge la kuuza pipi, vocha, soda na sigara (ingawa alikuwa na sigara kubwa pia) as well as viroba na pombe kali...., huyu dogo alikuwa anafanya kazi mchana kutwa na kuajiri watu ili wakeshe na kuuza usiku kucha pia (wateja walikuwa wanajua kwamba kuna pombe ) na nadhani hata polisi alikuwa anawapa pesa (kisheria sio tu hakuruhisiwa kuuza hata hivyo vileo bali hata angekuwa angeomba hio leseni asingepewa (hana premises) na hata angekuwa na premises kuuza usiku kucha na watu kunywa hapo bado ni kuvunja sheria.... (now ukiangalia mtaji aliotumia na income aliyokuwa anapata kwenye viroba pekee nadhani return on investment ilikuwa inawazidi hata wenye Bar...
Wewe kweli ni POOR BRAIN.Kuna watu hapa wanaanza kunishambulia..
Hv seriously mtu anajipanga et biashara aanze na milion 1 hapo anafanya biashara au anacheza
Kuna sisi tumewahi fanya biashara Kwa mataji wa uaminifu yaani unaenda Kwa mangi unachukua mahitaji unakaa stend kuzungusha ukiisha unafuata Tena!!Utakua unacheza
Kwa mbeya lakini..Kuuza chenji tu mtaji mil 5
Mkuu mimi ni mjasiliamaliWewe kweli ni POOR BRAIN.
Niambie hiyo biashara faida ten kwa siku nifanye sasa..Kuna sisi tumewahi fanya biashara Kwa mataji wa uaminifu yaani unaenda Kwa mangi unachukua mahitaji unakaa stend kuzungusha ukiisha unafuata Tena!!
Unatoka na faida ya ten au zaidi !
Mkuu biashara si kama ukibanwa kwenda kunya unaenda. Inahitaji dhamira thabiti (passion)kutoka moyoni.Niambie hiyo biashara faida ten kwa siku nifanye sasa..
Hapa nina laki mbili,, achana na uaminifu nina pesa na uaminifu ninao..
Nipe mchanganuo hapa full nianze biashara hata leo
Sasa wewe ndo genius...Mkuu biashara si kama ukibanwa kwenda kunya unaenda. Inahitaji dhamira thabiti (passion)kutoka moyoni.
Ni sawq na kazi zingine sio kukurupuka tu.
Hiyo laki mbili yako nenda sokoni kanunue mahindi mabichi kwa bei ya jumla utauziwa sh 300 kila hindi moja.
Nunua pisi 500 sawa na 150k
Wewe utauza kwa 500 kila hindi moja baada ya kuchoma.
Ukiuza yote utapata 250k
Kisha nunua mkaa debe 3 huku debe linauzwa sh 10k sawa na 30k
Kodi majiko ya kuchomea 4 kila jiko ni 3000 kwa siku sawa na 12k
Ajiri wachomaji vijana wa 4 kama wewe hutafanya kisha wagawie mahindi hayo kwa idadi sawa kulingana na maeneo utayowasambaza.
Hao utawalipa 5k jumla sh 20k kwa watu 4.
Gharama zake zitakuwa 212,000/=
Mauzo yote Tsh 250,000/=
Hapo utapata faida ya 38,000/= JAPO INAWEZA KUPANDA AU KUSHUKA LAKINI HIYI 10K HUWEZI KOSWA KWA SIKU. LABDA UWE HUJAAMUA.
Kila kitu ni maamzi mkuu hapa mimi nimeanza maandalizi nahitaji nipande nyanya mashina 400 tu kisha nitafute faida ya m2.
Calculations zipo hivi
Kulimiwa Tsh. 20k (amelima)
Kutifua na kuchimba Massimo 15k(amefanya hivyo)
Mbolea pamoja na kusombewa na Bajaji 25k (imesombwa)
Mbegu ni Tsh 48,000 zilizo tyr kupandwa.
Madawa hayatazidi 150k
Mbolea za viwandani Tsh 60k.
Hapa nitahusika kwa 70% mimi mwenyewe na 30% familia
(Huwa najilipa pia kila mwezi 50k
hivyo kwa miezi 4 ni sawa na 200k)
Nimefanya hivyo badala ya kutoka job na kwenda gym au jogging nguvu hizo nizifanyie kazi ya kuniingizia kipato.
Kazini huwa natoka saa12:00 na saa12:20 nipo home kuanzia saa huo muda hadi saa2 usiku unatosha kumwagilia hilo shamba.
Mwisho.
Ahsante sana. Mimi Nature ni kilimo na ufugaji japo hata biashara nimewahi fanya na ninaweza.Sasa wewe ndo genius...
Mkuu nimepa mchanganuo mzri sana saan sana aiseee an mkuu niseme tuu upo vzr kwa biashara sijui kama unachangiaga mawazo kule kwa nyuzi za biashara maana issue ya mchanganuo wengi hawatoi yaan unakuta wanatupa blaa blaa tuu..
Shukrani sana sana mkuu sasa hpa nina uwezo wa kuanza kufanyia kazi ushauri wako
Mkuu naomba niwe nakupa update ya sehemu nilipo ili nipate ushauri zaidi...Ahsante sana. Mimi Nature ni kilimo na ufugaji japo hata biashara nimewahi fanya na ninaweza.
Huo ni mfano tu unaweza fanya zaidi ya hiyo kulingana na eneo ulilipo.
Na research utakayofanya mahindi kila mahali yanalipa penye mwingiliano wa watu