Kwa anayeogopa/asiyeweza biashara kama mimi, pesa hizo angeweza kuziwekeza mahali pa kupata faida ya10% - 12% kwa mwaka (si pungufu ya milioni 8). Mfano mzuri ni kununua vipande vya mfuko mojawapo wa UTT, kwa mfano Jikimu, ambapo kila miezi mitatu (ukipenda) unapata gawio lako.
Mkuu huo mtaji ni mkubwa sana,tengeneza rebo yako kisha anza kupaki sembe.Funga 5kgs,10kgs,20kgs,25kgs na 50kgs!
Tafuta site nzuri fungua duka kubwa kwa ajiri ya kusupply.pack na unga wa muhogo na dona,uza jumla na rejareja.
bora uwe huna hela ila unajua ukipata pesa utafanya nini,kuliko kuwa na pesa na haujui uzifanyie nini?
Kwa anayeogopa/asiyeweza biashara kama mimi, pesa hizo angeweza kuziwekeza mahali pa kupata faida ya10% - 12% kwa mwaka (si pungufu ya milioni 8). Mfano mzuri ni kununua vipande vya mfuko mojawapo wa UTT, kwa mfano Jikimu, ambapo kila miezi mitatu (ukipenda) unapata gawio lako.
Nunua mobile crane ya 30tonnes au zaidi! inauzwa zaidi milioni tsh 150/- nje ya nchi na bado kuileta na kulipia ushuru na mengineyo! Jitahidi iwe kwenye hali nzuri!
Demand ipo juu kidgo kwa sasa....na mtu akiikodisha kwa siku anakulipa sio chini ya milioni mbili kwa siku! Na mara nyingi hukodishwa kwa wiki hadi mwezi mzima!
Kwa hela ulionayo...na kama unayo account inayo operate, baadhi ya benk hutoa mikopo ya kununua aina heavy machine ili mradi tu wewe una na 20% ya cost ya hiyo mashine....kadi watabaki nayo hadi umalize mkopo!
Biashara hii haisumbui.....mteja anakupigia (ukiwa unaendelea na shughuli zako, mnaelewana)......operata anaipeleka na kuanza kazi! Kijana mwingine atakaye kuwa na operata ni msimamizi wako na kumsaidia operata vitu vidgo vidgo!
Brand gani ya crane ununue nk, ukiwa interested na hii bishara uliza hapahapa kwa faida ya wengi....nitaeleza!
Massage shop inalipa kweli, tafuta nyumba sinza na warembo wa maana kama 5 hvi. Utapiga hela kuliko bakhreasa
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
Kwa wazo kama hili huwezi pata maendeleo kabisa! mil80 utegemee faida ya ten percent kwa mwaka hailipi kabisa.
weka Akiba inayokuwa, Ktk hizo hela, nunua eka 20 za kuotesha miti ya Mbao iringa kwa sh 1.3m, miche sh 1.2m, labour 1.0m, matunzo ya shamba kwa miaka kumi Yaani firebreak ni 2.0m, pruning kwa miaka kumi 1.0m. Jumla ni Tsh 6.0M. Halafu zinazobaki ndio uingie Ktk biashara utakayochagua. Baada ya miaka kumi hii Tsh 6.0m itakuwa inakaribia kufika Tsh 200MNi kweli lakini ndio hivyo nimeshazipata tayari na siwezi kuzitupa lazima nifikirie biashara ya kufanya ziongezeke badala ya kuweka benk tuuu
Try this at your own risk - mtafute Mwigulu Nchemba muhonge milion 50 akusaidie kupata ubunge 30 zilizobaki tumia kwa kampeni then ukiingia mjengoni we kazi yako ni kuitikia tu ndiooooo na kugonga meza unaingiza 17m kwa mwezi
(a) Pole sana kwa bahati mbaya hiyo. Lakini bila shaka umesikia kwamba walionunua hisa za badhi ya makampuni megine (kama TCC, TBL, nk) wanafurahia. Mkosi wa Nico usikukatishe tamaa. (b) Hata hivi vipande vya UTT ni tofauti kidogo na hisa za kampuni kama TBL, TOL, twiga, TCC, nk. Wao husambaza sana risk kwa vile wanawekeza sehemu mbalimbali kama katika hisa za kampuni, amana za benki, bond za serikali n.k. Uwezekano wa UTT kupata hasara na kushindwa kugawa faida au kuongeza thamani ya mitaji ni finyu sana.Hapana hii nilishafanyaga kwenye nico ikaniumiza sana sithubutu tena
Kwani ni za pensheni kwa maana hicho kiasi lazima kukipata kwa kufanya mambo flani sasa si ujiongeze na hayo yaliyokupatia hiyo Mil 80Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam