Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kama unakiwanja jenga guest house utapiga hela kama muuza unga! Watu wanabanjuana na kila siku zinavyoendelea kasi ya kubanjuana inakuwa!
Ha ha ha....Aisee hasa wanafunzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unakiwanja jenga guest house utapiga hela kama muuza unga! Watu wanabanjuana na kila siku zinavyoendelea kasi ya kubanjuana inakuwa!
Umetoa wapi hela yote?
110m bado unarudi kwenye ajira tena mkuu?
hiyo hela ni sawa na kuitupa chooni. bora ukale na demu wako
Ndio mkuu nimetafakari sana nikaona ajira ndio mpango mzima manake ndio hiyohiyo imeniwezesha kupata hiyo 110m.
Ndio mkuu nimetafakari sana nikaona ajira ndio mpango mzima manake ndio hiyohiyo imeniwezesha kupata hiyo 110m.
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
Kanunue hisa DSE za CRDB au TBL au TTC. Au nenda S'wanga kanunue ulezi.
Usije ingia contract na mtu . For time unajifikiria fungua FDR kwenye benki yeyote.
Nunua zile screen kubwa za matangazo kama zile za palm beach moja unaweza pata kwa usd 14000 ukiwa nazo tatu moja town nyingine mlimani city nyingine stand au airport
Makampuni yote ya simu unakula vichwa
Benki zote wala vichwa
Makampuni ya bia n.k