Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
Subayi, una haki ya kufikiri unacho fikiria lakini naweza kukuapia mbele ya miungu yote kuwa at the moment crane zenye tani 20 ni nyingi sana, hivyo kazi za kugombania! Na zenye tani 25 sio nyingi sana lakini kazi zipo na hazipumziki! lakini kuanzia tani 30 kwenda juu ni chache na kazi ni nyingi mno mno! Mara iringa, mbeya, dar kwenyewe, tanga, mtwara nk! kazi ni nyingi sana!
Kwa upande fulani nipo kwenye hilo eneo la kibiashara hivyo nafahamu! Kazi zipo nyingi sana, na hata ukitaka kuuza wateja ni wengi mno mno!
Hizi heavy equipment....haziozi, na hata zikiharibika zinatengenezeka na spea zipo! Na kwakuwa ni biashara yako utakuwa unafuatilia kila kitu na hasa service zake!
Pia mkuu, embu fanya risech kidgo...jifanye una kazi ya tani 30, kwa siku tatu na utanataka crane.....ukiipata kwa haraka...mshukuru mungu....vinginevyo utasubir kidgo....na bei yake utakuja kutoa ushuhuda hapa!
Fanya biashara ya kuhifadhi mazao na kusafirisha ,1. Chukuwa milioni 60 nunuwa mahindi gunia 1000 kwa 30000/= kila gunia =30,000,000/= piya nunuwa gunia 1000 za alizeti kwa 30000/= kwa gunia =30,000,000/= unahifadhi kwa miezi sita hadi february or march unauza mahindi gunia @ 55,000 hjadi 60,000/= mara 1000 unapata 55,000,000/=hadi 60,000,000/= alizeti unakamuwa mafuta kila gunia linatoa wastani wa lita 20 ambazo utauza sh 60,000/= kwa lita 20 mara 1000=60,000,000/= kwenye alizeti uatapata faida ya mashuda ambayo utauzakwa sh 200 kwa kg moja unawezakupata kama 5milioni kwenye mashudu. Jumla ya kipato chako itakuwa 120milioni or 125m. 2. Chukuwa milioni 20 iliyobaki kwenye mtaji wako wa 80 milioni anza biashara ya kusafirisha mazao kwa milioni 20 unaweza leta tani 60 kwa weeki za mahindi ambazo kwa uchache kila tani 30 unaweza pata faida isiopunguwa laki saba hadi 1.5 milioni *2 ni kama 1.4 hadi 3milioni kwa weeki . Kama unahitaji msaada wowote ule kiushauri kuhusu hii biashara unaweza kunitafuta kwa no.0765616178. Kwa yoyote aliyetayari naweza kumpleka kwenye masoko na kumpatiya maelezo na msaada free bila malipo yoyote yale.
Mkuu tafuta shanba walau 50 acres unazoweza pata kwa around 5m chimba kisima kwa around 15m set irrigation system anza kufanya hortculture itakulipa tu
Kama unakiwanja jenga guest house utapiga hela kama muuza unga! Watu wanabanjuana na kila siku zinavyoendelea kasi ya kubanjuana inakuwa!
Tafuta mtu ardhi na halmashauri nunua shamba lets say acre 20 gawa viwanja hata 60 weka title deed kwenye viwanja wape halmashauri Wauze watakata commission Yao si unaona tunavyokimbilia halmashauri zikitangaza viwanja