Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Kwa hekima na busara ili kuokoa maisha ya huyo mtoto,nenda katoe,no way through,huyo mtoto bado mdogo sana.Mwenyezi Mungu ndie mjuzi zaidi.
I beg to differ. Kwa kuitoa ndio atakuwa amekosa hekima na busara. Maisha ya huyo mtoto hayapo hatarini. Mtoto amnyonyeshe na mimba ailee na wala hana haja yakumuachisha mpaka atakapo kataa mwenyewe.

Watu huwa wananyonyesha twins, triplets, quadriplets and so forth bila ya shida yoyote.
 
Pamoja daima
 
Yani wewe utakuwa na matatizo siyo bure kabisa,hebu nenda katafute chanzo cha allergies ni nini,na kuna allergy mbalimbali zinazosababishwa na vitu mbalimbali,nenda basi hata Google upate nadharia mbalimbali kuhusu kipi bora formula au maziwa ya ng'ombe au uliza hata dr yoyote akuambie.

Nimeshakwambia kubali kujifunza unafikiri tunashindana hapa.!
 
Madam usijaribu kutoa hiyo mimba huwezi jua kuwa hao wawili ndio ulikuwa nao tumboni peke yake. Nenda kituo cha afya kubali matusi yote jishushe ila kutoa mimba ni hatari jwa afya yako na ya mtoto wako.

1. Ukitoa mimba kisha huyo mtoto hai akifa je? Utakosa vyote.

2. Ukitoa mimba ukafa then mtoto hai atalelewa katika mazinggira gani ilhali ji mdogo?

Nina mdogo wangu kwa mama mdogo mamaye alimzaa akafa, so hakuwahi kunyonya. Muachoshe mtoto hai mpe lishe bora lea mimba. Inawezekana.

Pole madam
 
Huyo mtoto wa miezi 4 mtafutie Maziwa mbadala na jaribu kubalance mlo kamili,usihofu mtoto ni zawadi kutoka kwa mungu,endelea kulea mimba utajifungua salama tu
 

 
Mkuu achana nae uyo binti anayejiita Jolie atakupotezea muda tu na kukusababishia ban, yaani ukiona mwanamke ana majivuno kama uyo basi ujue kichwani mwake hakuna kitu achana nae, kwa elimu gani sasa aliyonayo anayotaka kumtikisa kila mtu!!

Kweli mkuu watu kama hao kujua kwingi hamna lolote kichwan kuku wa kuchora tu hao hawadonoi wala hawawiki acha nmpotezee kama johncena
 
 
Sijaumbuka na siongozwi na akili fupi fupi ulichotakiwa ni kujibu hoja na si ku paste article za watengenezaji
Napenda kujibu kwa fact,hebu na wewe tupe fact ya mtaani kwako huko kubemendwa kuna kuwaje,na hayo maziwa mnayosema yanakuwa yamechafuka ,yanachafukaje labda.
 
Mpige malactogen na vyakula vingine vyenye protein,muachishe maziwa yako,utampa utaahira bure mtoto wakati alizaliwa akiwa mzima
 
Waume wengine wawe na huruma jamani, si hata angevuta muda kidogo, au angekuwa anamwaga nje
 
Wataalam wa nini?
Msimix myth mlizoaminishwa na taaluma za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…