Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,994
- 1,540
Pole Sana, tafuta maziwa ya kopo mazuri (hapa inahitajika ushauri wa dokta) mpe kwa siku mbili ukiangalia Kama bado anaharisha au la akiacha usinyonyeshe tena maana hormone zako zimebadilika kwa ajili ya mimba.Nanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharisha
Pia mtoto anahitaji protini za kutosha maana ndio anakuja, ongea na daktari wa watoto akushauri umpe nini muda huu. Usipuuzie waweza kupoteza mtoto, ushauri wa daktari wa watoto ni muhimu Sana