Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nyie watu hebu
Acheni hiya mafubzo yenu!!!


Dadq mtoa mada HAKUNA KITU KINAITWA KUBEMENDA MTOTO!!

UMEKUWA MZEMBE KULA
HUNA MUDA NA MTOTO
UNEJIWEKEA MECHANISM YA KUSHINDWA KUTENGENEZA MAZIWQ YENYE VIEUTUBISHO KWA WOGA WAKO NA UKIFANYA MCHEZO MTOTO UNAMKOSA KWELI!!!

NARUDIA KULA VIZURI
RELAAAX
JOPE MUDA WA KUPUMZIKA
ACHA KUANGALIA UTAONEKANAJE!!
LEA MWANAO LEA MIMBA YAKO!!!
 
Wataalam wa nini?
Msimix myth mlizoaminishwa na taaluma za watu
Yani nashangaa wanashindwa kutumia akili ya kawaida kabisa kufikri ,eti akili ya mazingira na mazoea, yani sijuhi nini ila Taifa letu kwa kiwango kikubwa lina watu wanaokumbatia ujinga.
 
Kama hukunielewa ungekaa kimya!
Kukuelewa kuwa unaamini kuhusu kuharibika maziwa na kubemenda mtoto(nasikia hata aibu kutamka hili neno baada la elimu yote ya uzazi na malezi niliyonayo)
HAKUNA HICHO KITU!!

KINACHOFANYA MTOTO ADHOOFIKE NDICHO HICHI MNAONGEA HAPA!!

HOFU NA STRESS NA AIBU NA KUMKACHA MTOTO NDIKO KUNAPELEKEA HIYO MNAITA MTOTO KUHARIBIKA SIJUI MAZIWA KUCHACHA!!!
LISHENI MTOTO VIZURI
TUNZA MAZINGIRA YAKE
VYOMBO ANAVYOTUMIA
ANZA KUMSUPPORT MTOTO NA VYAKULA VINGINE VYEPESI.
KULA VIZURI , I MEAN VIZURI HASA
PUMZIKA MUDA MREFU
FURAHIA BARAKA YA UUMBAJI NDANI YAKO
OMBEA WANAO

NYONYESHA MWANAO MPK MIMBA YA MIEZI 7-8
kila kitu poa kabisa!!!
 
Mimi usinifundishe kulea ninao waliopishana hivyo hivyo kwa miezi nalea wanangu wote wawili wako tu vizuri ukitaka kuwaona ntakuonyesha, sikusema naamini katika kubemenda japo unakionea Aibu ila limetamkwa Mara nyingi hivyo ilikubdi ulisome, ila nilichosema ni kwamba hata mimi nilipitia katika hali apitiayo huyu Dada mtoto aliharisha sana choo chenye utelezi cha kijani,mtoto alidhoofika japo hospital hawakuwahi kuniambia kama anaugua ugonjwa wowote zaidi ya kuning'ang'aniza nimnyonyeshe Mimi nna ishi na jamii na katika jamii kuna mambo yake.

Hivyo basi nilipokua nikimnyonyesha mwanangu roho ilikua inaniuma sana yaani nilikua siyaamini yale maziwa yangu, nilichanagnyikiwa maana wakwe zangu walitaka nimuachishe mtoto kunyonya wakati hospital walitaka niendelee hivyo basi ilifika sehemu ikawa nahangaika na mtoto watu wanaonizunguka hawanisaidii wananicheka nikaona isiwe shida nikamuita mama yangu yeye ndie aliyeniamulia kuto kumnyonyesha mtoto na kweli mtoto yuko vzr mpaka sasa!

Kwenye comment zangu zoote nilizotoa sidhani kama kupo nilipotamka neno kubemenda na kuchafuka kwa maziwa (except hii) hivyo usinineneee nisichokisema nimekupa my life experience
 
Haraka sana acha kumnyonyesha mtoto.maana hayo maziwa yako nfo chanzo cha yy kuhara kutokana na mvurugiko wa Homoni.
 
Nyonyesha maziwa fresh ya ng'ombe.
Ya kwako acha kabisa.
 
Huyo mtoto mdogo usimnyonyeshe maan maziwa ya aliye tumbon ndo yanamdhur nunua maziwa fresh ya ng'ombe uwe unampa mpaka ikifika miez sit hiv unamuanzusha na kauji laiiiin mtot atakuwa bila shaka lakin utafute dawa za kuharisha na kuondosh uchafu wa maziwa yaliyo gand ndan ya tumbo kwa mtoto mkubwa ahsante hiyo ilitokea kwa rafiki yangu na mtot waKe na amekuwa vixur tena ana afya
 
Kama watoto wote ni wa baba mmoja hamna shida hata kidogo wewe kula vizuri umnyonyeshe mtoto kwa kwenda mbele. Kama ulichepuka utambemenda mtoto usimnyonyeshe kabisa mpe maziwa ya ngombe
 
mh! ila kama ni mtumishi wa umma ndio hivyo tena ujue huna likizo ya uzazi
 
Unachotakiwa kufanya kwanza jiamini usijali watu wanasema nini.pili acha kumnyonyesha Mpe maziwa ya ngo'mbe.
 
Ukisikia kubemenda mtoto ndio huko. Kinachomfanya mtoto kuhara ni kwamba umewahi kumbebea ujauzito kabla ya muda na kuna uwezekano ananyonya,sasa kwakuwa amekuwa akinyonya sperms za mwanaume yawezekana akawa sio baba yake,ni lazima aharishe na ni jambo ambalo kama usipokuwa makini anaweza kupoteza maisha.

Acha kumnyonyesha na muanzishie uji wa lishe ili walau aweze kuziba gap ambalo kakumbana nalo. So far,ulipaswa kubeba ujauzito walau akiwa na miezi nane mtoto. Pole kwa yaliyokukuta

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…