Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Naomba nikwambie kitu,,kwanza muachishe umpe maziwa ya kopo,uanze kumfeed vzr maana hanyonyi,,atakua vzr
 
Hiyo ni bahati japo imekufikia muda ambao hukupanga chakufanya jitahidi utafute maziwa kila sk ili asitumie yako na ujitahidi kumpa chakula(balance diet).

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na mimba nyingine kabla mtoto hajakuwa Siyo issue, na mtoto hawezi halisha ikiwa ananyonya Maziwa yako na mimba hiyo ni ya Baba yake, inawezekana kabisa umechepuka
 
Pole, ni kawaida hiyo wa miezi minne usimnyonyeshe tena mlishe maziwa lactogen
 
Pole we zaa tu na huyo mwingine mwachishe kunyonya mtafutie maziwa mbadala
 
Usifikirie kufanya abortion, ila fikiria kulea huo ujauzito, kama inaishi na mume niwakati wake kukuonyesha mapenzi ili usijutie hali ulionayo zaidi tunza afya yako. Mpe lishe nzuri huyo mtoto naamini atakua vizuri tuu wala usiogope
 
Mtoto akifikisha miezi 6 muachishe,halafu jitahidi kumpa mlo kamili,ili kuokoa maisha ya mtoto.
 
Back
Top Bottom