Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

cDNA;
Umesoma Kuran ipi weye?? Acha kupotosha watu. Kama una uchu wa kula mizoga kula mwenyewe. Usiwe na tabia ya kutamka usokijua.
Sidhani kama kuna binadamu yeyote duniani anaeweza kula mizoga kama fisi,hata kama huyo mtu hana elimu yeyote ile hawezi kila mzoga.Lakini kama una maanisha kuwa mnyama aliechinjwa na mkristo ni mzoga basi hiyo itakuwa ni dharau iliopitiliza na kamwe hakuwezi kuwa ni mpango wa mungu.Kama ni mpango wa mungu basi atakuwa ni mungu wa Kiarabu( Allah).
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
 
Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
Mtoto hawezi kupata shida yeyote kama ananyonya maziwa ya mama mwenye mimba.Kutoa mimba ni kosa la jinai,hata kama kuna mtu anaweza kukusaidia lakini hawezi kujitokeza hadharani.

Nenda hospitali unong'one na daktari atakusaidia lakini humu hutapata msaada wowote.
 
Pole dada ww lakufanya muachishe mtoto kunyonya den una hakikisha unampa chakula cha kutosha chenye vitamin vyote na maziwa ya watoto yale ujaribu kumpa ila asitumie maziwa ya kwako
 
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Acha kumnyonyesha mtoto haraka sana. Mpe Maziwa mbadala. Kama mama yako au mkwe yuko karibu mpeleke mtoto akae huko mwezi ili akusahau kudogo. Atakata kiu ya nyonyo na akirudi kwako inakuwa rahisi kwa kuwa atakuwa ameacha kulia.

Mwisho kabisa mimba uliyobeba iinapishana kwa kiwango kikubwa na genes za mwanao huyo. Usihofu ni kawaida mtoto wa kwanza na wa Pili mail I kiss makini ni kuzaa mapacha wa nje. Ila yahitaji moyo Kumar a mwanao kwa muda ila vumilia ili afya yake iimarike.
 
Usimnyonyeshe tena mototo inaweza ikawa ndo sababu ya yeye kuharisha.
Mtafutie maziwa mbadala na umuanzishie lishe
 
Kwenye swala la kupata mimba ndani muda mfupi kuna mengi yanasemwa, muhimu kwenda kwa wataalam wa afya ya mama na mtoto watakushauri kitaalam na si kimazoea. Kimazoea kila mtu atakuwa na uzoefu wake katika kulishuhurikia swala.

Kuna dada aligundua ana mimba akiwa na mtoto wa miezi sita, alishauriwa na daktari aendelee na utaratibu wa kumnyonyesha mtoto kama kawaida, alifanya hivyo mpaka siku anaenda kujifungua, na baada ya kujifungua, watoto wote waliendelea kunyonya.
 
Huwa mtoto anaendelea kunyonyeshwa mpaka mpaka miezi mitatu ya mimba au sita,ila mama unatakiwa ule msosi vizur kwani unaweza kudhoofika.

Baada ya hapo unamuachisha kunyonya kabisa aanzi kunywa ya kopo au uji wa dona uliochunywa na wengine huwa mtoto anachukuliwa eidha na bibi yake au mlezi mwingine huwa wanasema joto la mama linamuadhir kwahiyo inabid akae mbali na mama
 
Mimba na mtoto kudhohofika havina uhusiano wowote mpendwa.kama anaharisha inamaanisha maziwa au uji unaandaliwa katika mazingira yasiyo salama jitahidi usafi wewe kula vizuri ili mtoto apate maziwa ya kutosha nyonyesha mpaka utakapoona umechoka au mimba ikifikisha umri wa week 28-30.
 
Mama angu mdogo alitoka arobaini na mimba kwahio umejitahidi Hadi miezi 4 ila kuna wataalam wanaweza kumuogesha mtoto dawa akawa sawa pia kama itawezekana muachishe ziwa ila jitahidi kumpa mtoto kitu kitakachomfanya at least akasogea kidogo maana kiafya mtotoanatakiwa kunyonya kama mwaka na miezi8
 
hapana kamtoe uyo mtoto mpeleke kwa bibi yake atakaa sawa kisha endelea kulea mimba
 
Mrudishe kwa babayake kama urimtorosho bila ya ruhusa
 
Mimba na mtoto kudhohofika havina uhusiano wowote mpendwa.kama anaharisha inamaanisha maziwa au uji unaandaliwa katika mazingira yasiyo salama jitahidi usafi wewe kula vizuri ili mtoto apate maziwa ya kutosha nyonyesha mpaka utakapoona umechoka au mimba ikifikisha umri wa week 28-30.
We hujui kitu
 
Mi nakushauri Kama unawazazi wako mpeleke huyo mtoto.
 
Back
Top Bottom