Mkungilwa
Member
- Oct 19, 2016
- 6
- 1
Nenda kwenye tiba za jadi watakusaidia ili kumkinga mtoto asizurike.
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto ana miezi 4. Puree tenaJitahidi kumtengenezea balanced diet, protein ni muhimu sana katika umri huo kwani ndio anajenga mwili na kinga ya mwili vyakula vya wanga na mboga mboga na matunda, ikiwezekana blend matunda mpe puree au smooth anywe.
punguza kupenda vitu vya wakubwaNinachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Hii ni ushauri kwa wote, mke wangu alibeba mimba mtoto akiwa na miezi 6. unachokieleza also kilimtokea mke wangu, tuliomba ushauri,kutoka kwa bibi yetu kijijini.Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
usifanye hicho. utamuharibu mtotohongera
usimnyonyeshe kwanza huyo mdogo maana mwili wako hormone zinavurugavuruga
kikwetu huwa wanasema hata usilale nae
ila utakaa tu ok jipe muda mpe mtoto maziwa mbadala
Ndiyo lazima ajenge bond kati ya aliye tumboni na aliyepo,na kuendelea kunyonyesha ni njia mojawapo ya kubond, watu hapa wanamshauri aache kunyonyesha eti asikae nae karibu sijuhi ni mawazo ya wapi hayaHii ni ushauri kwa wote, mke wangu alibeba mimba mtoto akiwa na miezi 6. unachokieleza also kilimtokea mke wangu.
tuliomba ushauri,kutoka kwa bibi yetu kijijini. Bibi alitueleza kwamba mke wangu amchukuemtoto aoge naye, yale maji unayooga ,hasa maeneo ya tumbo. mwogeshe mwanao. huku ukiongea maneno haya " mwanagu ( Taja jina la mwanao) mpokee huyu mtoto ni mdogo wako, anakupenda sana, usiwe na hofu ,wote ni wanangu pendaneni,mimi nawapenda wote na Mungu anawapenda wote" fanya kila wakati unapooga. ndani ya siku 7. then utaona matokeo. endelea kumnyonyesha mwanao. mambo yote yataenda safi. au nipm...nikuambie zaidi. ukizarau shauli lako. Usitumie dawa ya mzizi yoyote, utawadhuru wao. nilichokumbia hapo ndiyo ufanye. Kinachofanyika hapo siyo uchawi ni kubalance joto la mtoto wa tumboni na huyo uliyenaye. usiache kunipa feedback baaada ya siku 7.
We,Viatu acha kumdanganya mwenzako mtoto hawezi kuharibika kwa kunyonya maziwa kwa mama mwenye mimba.Pole dada ww lakufanya muachishe mtoto kunyonya den una hakikisha unampa chakula cha kutosha chenye vitamin vyote na maziwa ya watoto yale ujaribu kumpa ila asitumie maziwa ya kwako
mimi mtoto wangu alikuwa anyonya mpaka dakika ya mwisho mke wangu anajifungua. na hakuna madhara yoyote yaliyotokea, ingiwa watu walikuwa wanachonga sana. ila tu afanye nilichomweleza hapo juu.We,Viatu acha kumdanganya mwenzako mtoto hawezi kuharibika kwa kunyonya maziwa kwa mama mwenye mimba.
Itabidi tu uzae usimtoeSina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
unampa pole ya nini fyatua mamaDuuh pole sana mpenzi
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji37]Hiyo maana yake umeanza kugegedana wakati mtoto akiwa na miezi mitatu tu. Mlikuwa mnaharaka gani? mngekaa atleast miezi sita hivi. Anyways pole sana, ila kwa huduma zetu za kiafya jinsi zilivyo za mwendokasi nakushauri fanya maamuzi magumu tu (abortion) ili kumuokoa huyu ambaye yupo duniani tayari. I bet serikali wataelewa maana it's just a matter of life against life.
Hofu yetu sisi ni kwa jinsi unavyopenda kugegedana huyo wa tumboni akifikisha miezi tisa utapata mimba nyingineNinachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye