Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Pole, usimpe mtoto maziwa ya ng'ombe bado mdogo sana hayamfai kwan maziwa ya ng'ombe yananguvu sana, mnunulie maziwa ya kopo yanaitwa infacare yanaradha kama maziwa ya mama na ni kwa ajir ya watoto wadogo.

Pili usimnyonyeshe maziwa yako kwa kuwa hufaham dawa ya kufanya ili mtoto asidhurike na maziwa yako nakama unaweza kumnunulia serelak ukampa pia n nzur na hiyo mimba haiwez kumuharibu mtoto.

Ila kunanjia ya kufanya kwa mda wa siku 3 zitakazomsaidia huyo mwanao kuwa na afya nzur na maendeleo mazur ya ukuaj.
 
JF haifai kuingia kichwa kichwa kama una tatizo lako. Dada; una umri gani?? Una watoto wangapi?? Naweza kukupeleka kwa wamama zaidi ya 6 ninao wafaham ambao watoto wao wote wamepishana mwaka 1 tu. Yaani mama alitoka na mimba mtoto akiwa na only 3 months.

Mimi nina watoto 3 waliopishana na miezi 12 tu kila mmoja kwa mwenzie. Hakuna hata mmoja aliye harisha wala kusinyaa. Kuna kitu ulifanya mtoto akaharisha au alipoanza kuharisha hukumuwahi dawa ya kuzuia kuharisha. Tibu mtoto usimnyime maziwa. Labda kama mtoto hukumzaa weye ulimwiba hospitali.

Mwili wako ndio factory ya lishe ya mtoto, iweje adhurike?? Samahanini wana jf kwa swali langu hili. Naomba kutanguliza ombi la msamaha nisionekane kama nachochea ngono, wamama wengi watakuambia kuwa, baada ya uzazi, kwenye process ya kupona, misuli inaporudi kuna ka tendency ya kujihisi kama kukunwa kunwa hivi.

Dume likiwa home, huku umekula vyema, tamaa huamka na akija tu, tiyari umeshafika vilele vyote. Hakuna kipindi una ham naye ka hicho. Dume likishindwa kumwaga nje matokeo ndo hayo. Mtoto na nduguye mtoto.

Usiue mtoto aliye tumboni wala mwenzie aliye uraiani, kwa kumnyima lishe bora yaani maziwa yako. Mtibu kuharisha. Wewe ule vizuri kumlisha aliye tumboni na aliye uraiani. Kamwe usimpeleke mtoto kwa bibi. Hilo ni tusi, bibi hakuwepo na wewe kwenye 6 x 6
 
Jitahidi kumtengenezea balanced diet, protein ni muhimu sana katika umri huo kwani ndio anajenga mwili na kinga ya mwili vyakula vya wanga na mboga mboga na matunda, ikiwezekana blend matunda mpe puree au smooth anywe.
Mtoto ana miezi 4. Puree tena
 
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.

Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.

Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.

Asanteni.
Hii ni ushauri kwa wote, mke wangu alibeba mimba mtoto akiwa na miezi 6. unachokieleza also kilimtokea mke wangu, tuliomba ushauri,kutoka kwa bibi yetu kijijini.

Bibi alitueleza kwamba mke wangu amchukuemtoto aoge naye, yale maji unayooga ,hasa maeneo ya tumbo. mwogeshe mwanao. huku ukiongea maneno haya " mwanagu ( Taja jina la mwanao) mpokee huyu mtoto ni mdogo wako, anakupenda sana, usiwe na hofu ,wote ni wanangu pendaneni,mimi nawapenda wote na Mungu anawapenda wote" fanya kila wakati unapooga. ndani ya siku 7. then utaona matokeo. endelea kumnyonyesha mwanao. mambo yote yataenda safi. au nipm...nikuambie zaidi. ukizarau shauli lako. Usitumie dawa ya mzizi yoyote, utawadhuru wao. nilichokumbia hapo ndiyo ufanye.

Kinachofanyika hapo siyo uchawi ni kubalance joto la mtoto wa tumboni na huyo uliyenaye. usiache kunipa feedback baaada ya siku 7.
 
Hii ni ushauri kwa wote, mke wangu alibeba mimba mtoto akiwa na miezi 6. unachokieleza also kilimtokea mke wangu.
tuliomba ushauri,kutoka kwa bibi yetu kijijini. Bibi alitueleza kwamba mke wangu amchukuemtoto aoge naye, yale maji unayooga ,hasa maeneo ya tumbo. mwogeshe mwanao. huku ukiongea maneno haya " mwanagu ( Taja jina la mwanao) mpokee huyu mtoto ni mdogo wako, anakupenda sana, usiwe na hofu ,wote ni wanangu pendaneni,mimi nawapenda wote na Mungu anawapenda wote" fanya kila wakati unapooga. ndani ya siku 7. then utaona matokeo. endelea kumnyonyesha mwanao. mambo yote yataenda safi. au nipm...nikuambie zaidi. ukizarau shauli lako. Usitumie dawa ya mzizi yoyote, utawadhuru wao. nilichokumbia hapo ndiyo ufanye. Kinachofanyika hapo siyo uchawi ni kubalance joto la mtoto wa tumboni na huyo uliyenaye. usiache kunipa feedback baaada ya siku 7.
Ndiyo lazima ajenge bond kati ya aliye tumboni na aliyepo,na kuendelea kunyonyesha ni njia mojawapo ya kubond, watu hapa wanamshauri aache kunyonyesha eti asikae nae karibu sijuhi ni mawazo ya wapi haya
 
Pole dada ww lakufanya muachishe mtoto kunyonya den una hakikisha unampa chakula cha kutosha chenye vitamin vyote na maziwa ya watoto yale ujaribu kumpa ila asitumie maziwa ya kwako
We,Viatu acha kumdanganya mwenzako mtoto hawezi kuharibika kwa kunyonya maziwa kwa mama mwenye mimba.
 
We,Viatu acha kumdanganya mwenzako mtoto hawezi kuharibika kwa kunyonya maziwa kwa mama mwenye mimba.
mimi mtoto wangu alikuwa anyonya mpaka dakika ya mwisho mke wangu anajifungua. na hakuna madhara yoyote yaliyotokea, ingiwa watu walikuwa wanachonga sana. ila tu afanye nilichomweleza hapo juu.
 
Acha kumnyonyesha huyo mtoto mtafutie maziwa ya kopo uwewampa napia umuanzishie uji wa muhogo wauchuja usiku ili asikusumbue wamtengea maziwa yake
 
Mke wangu alishika mimba mtoto akia na mwezi 4 tu mama ww nakushauri usitoe mimba endelea kumnyonyesha mwanao had I afikishe miezi 6 hadi 8 umtoe kwenye ziwa mpea maziwa ya kopo usimpe ya ngombe kwani ngombe no bora lakini wausika wanaokamua maziwa sio waminifu kabisa.

Mtoto atakua salama na afya tele
 
Kwanza pole japo nakulaumu wewe na mmeo. Ushauri kwanza acha kunyonyesha kabisa maana unamlisha uchafu. Pili tumia maziwa ya dukani au ya ng'ombe if upo well off. Maana epuka kukidharau kinachoonekana ukakomaa zaidi na kisichoonekana(imagination).

Ukifanya hivyo kwa usafi zaidi mtoto atapona na pia juice za matunda ya kutengeneza wewe mwenyewe ni bora kuliko ya viwandani. Fuata hayo mawazo utafanikiwa
 
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.

Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.

Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.

Asanteni.

Hiyo maana yake umeanza kugegedana wakati mtoto akiwa na miezi mitatu tu. Mlikuwa mnaharaka gani? mngekaa atleast miezi sita hivi. Anyways pole sana, ila kwa huduma zetu za kiafya jinsi zilivyo za mwendokasi nakushauri fanya maamuzi magumu tu ili kumuokoa huyu ambaye yupo duniani tayari.

I bet serikali wataelewa maana it's just a matter of life against life.
 
Hiyo maana yake umeanza kugegedana wakati mtoto akiwa na miezi mitatu tu. Mlikuwa mnaharaka gani? mngekaa atleast miezi sita hivi. Anyways pole sana, ila kwa huduma zetu za kiafya jinsi zilivyo za mwendokasi nakushauri fanya maamuzi magumu tu (abortion) ili kumuokoa huyu ambaye yupo duniani tayari. I bet serikali wataelewa maana it's just a matter of life against life.
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji37]
 
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Hofu yetu sisi ni kwa jinsi unavyopenda kugegedana huyo wa tumboni akifikisha miezi tisa utapata mimba nyingine
 
Back
Top Bottom