Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

Daah kusema kweli hiyo ni shida ila yote hiyo ni mipango ya mungu kwahyo ww kubaliana na matokeo chamsingi nikumchukua huyo mtoto mpeleke kwa mama yako au Dada yako mana ukisema utazidi kukaa nae ndio utamumiza kiafya

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
 
Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Jaribu kuwa msafi mda wote na ikiwezekana mwachishe kunyonya mpe maziwa ya ng'ombe au ya dukani yale ya kopo mtoto atakuwa na afya njema kabisa ukishindwa mwone daktari yeyote atakupa ushauri. Pole sana dadangu.
 
Do ile theory ya kuwa ukiwa unanyonyesha mimba haiwezi kushika si kwa wote, wengine wakijaribu tu ni kitu na box. Kula vizuri na kufanya mazoezi, jitahidi kutembea hata kwa nusu saa kila siku kama utaweza.

Jitahidi kubalance mapenzi kati ya hawa watoto wote, kwasababu wako karibu huyu aliyetangulia pia atahitaji kupendwa kama mwenzake. Wazazi wengi wanajisahau na attention yote inahamia kwa mtoto mchanga.
mnyonyeshe mtoto tu hiyo hali itapotea hadi mimba ifike miezi 7 acha, ukiona bad o kadogo ukijifugua endelea tu kumnyonyesha haina shida, watu wanakosea katka unyonyeshaji ndio maana wanapata mimba
 
Mstopishe kunyonya huyo ulienae,kuna mirija ya kunyonyesha nenda kanunue then uwe unamnunulia maziwa na kumnyonyesha na endelea kulea mimba
 
Acha kumnyonyesha huyo mtoto anza tu kumpa maziwa ya ng'ombe bila hivyo utamkosa huyo mtoto maana maziwa yako yashaharibika tayari
 
Mimi usinifundishe kulea ninao waliopishana hivyo hivyo kwa miezi nalea wanangu wote wawili wako tu vizuri ukitaka kuwaona ntakuonyesha, sikusema naamini katika kubemenda japo unakionea Aibu ila limetamkwa Mara nyingi hivyo ilikubdi ulisome, ila nilichosema ni kwamba hata mimi nilipitia katika hali apitiayo huyu Dada mtoto aliharisha sana choo chenye utelezi cha kijani,mtoto alidhoofika japo hospital hawakuwahi kuniambia kama anaugua ugonjwa wowote zaidi ya kuning'ang'aniza nimnyonyeshe Mimi nna ishi na jamii na katika jamii kuna mambo yake, hivyo basi nilipokua nikimnyonyesha mwanangu roho ilikua inaniuma sana yaani nilikua siyaamini yale maziwa yangu, nilichanagnyikiwa maana wakwe zangu walitaka nimuachishe mtoto kunyonya wakati hospital walitaka niendelee hivyo basi ilifika sehemu ikawa nahangaika na mtoto watu wanaonizunguka hawanisaidii wananicheka nikaona isiwe shida nikamuita mama yangu yeye ndie aliyeniamulia kuto kumnyonyesha mtoto na kweli mtoto yuko vzr mpaka sasa! Kwenye comment zangu zoote nilizotoa sidhani kama kupo nilipotamka neno kubemenda na kuchafuka kwa maziwa (except hii) hivyo usinineneee nisichokisema nimekupa my life experience
ooops ,samehe mimi dada!
 
Ukisikia kubemenda mtoto ndio huko. Kinachomfanya mtoto kuhara ni kwamba umewahi kumbebea ujauzito kabla ya muda na kuna uwezekano ananyonya,sasa kwakuwa amekuwa akinyonya sperms za mwanaume yawezekana akawa sio baba yake,ni lazima aharishe na ni jambo ambalo kama usipokuwa makini anaweza kupoteza maisha. Acha kumnyonyesha na muanzishie uji wa lishe ili walau aweze kuziba gap ambalo kakumbana nalo. So far,ulipaswa kubeba ujauzito walau akiwa na miezi nane mtoto. Pole kwa yaliyokukuta

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
uuuuuuuuuwih SPERMS NA MAZIWA VINAKUTANA WAPI JAMANI!
WAAAPI FOR A START!/
Riwa HIVI KWANINI HUJI MPKA HAYA YANAFIKA HUKU!
pls say something
 
Kwanza kbs, usimruhusu tena mtoto kunyonya ayo maziwa!! kwan, si salama tena kwa afya y@ke bali n sumu!! zaid tembelea kituo ch@ afya kilicho karibu upate ushauri nasah@!!!!
 
Ukisikia kubemenda mtoto ndio huko. Kinachomfanya mtoto kuhara ni kwamba umewahi kumbebea ujauzito kabla ya muda na kuna uwezekano ananyonya,sasa kwakuwa amekuwa akinyonya sperms za mwanaume yawezekana akawa sio baba yake,ni lazima aharishe na ni jambo ambalo kama usipokuwa makini anaweza kupoteza maisha. Acha kumnyonyesha na muanzishie uji wa lishe ili walau aweze kuziba gap ambalo kakumbana nalo. So far,ulipaswa kubeba ujauzito walau akiwa na miezi nane mtoto. Pole kwa yaliyokukuta

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
Huku kubemenda watu hawaelewi inakuaje, mtoto andhoofika ni kutokana na kula uchafu ktk maziwa, uchafu haupoa ndani ya maziwa, uchafu upo nje ya maziwa.

Mnatoka kugegedana mmeshikana kila kona kisha mikono hiyo hiyo unashika ziwa na kumnyonyesha mtoto hapo ndio unapokula uchafu. Mi nakuhakikishia ikiwa mama baada ya kumaliza mgegedo anaenda kunawa mikono na sabuni vizuri, hakuna cha kubemenda. Mtoto hata kama analia usimpe ziwa nenda kanawe kwanza.

Kwa ww mama mtoto mi nakushari acha kumnyonyeha huyo mtoto, mtafutie vyakula mbadala ukiendelea kumnyonyesha afya yake haitakuwa vizuri, unajua kwa nn, huko mitaani wakubwa ukiwapinga wanamroga mtoto ili ionekane ubishi wako, fuata mila za hapo ulipo atakuwa poa.
 
Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.

Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.

Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.

Asanteni.
Mnyonyeshe mtoto mpk mimba ifike miezi sita mpk saba hakuna shida,kwa maelezo zaidi muone gyno or paed.
 
Back
Top Bottom