Pole Sana, tafuta maziwa ya kopo mazuri (hapa inahitajika ushauri wa dokta) mpe kwa siku mbili ukiangalia Kama bado anaharisha au la akiacha usinyonyeshe tena maana hormone zako zimebadilika kwa ajili ya mimba.Nanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharisha
Mkuu naongea kwa experience, ilintokea na nlipata ushauri wa Doctor nkaufanyia kazi hakuna kilichharbika saiv wako km mapacha vileMkuu inaelekea hayajakukuta. Whatever the name is but unamuathiri mtoto.
Vizuri sanaHakuna kitu Kinachoitwa kubemenda scientifically. Hii ni imani potofu na ilitumika zamani ili kuwafanya wazaz watulie kweny suala la kulea waache kurukaruka.
Kwa hyo kula balanced Diet itakayokidhi mahitaji yako, mahitaj ya aliyeko tumboni na anayenyonya yani ule vzuri haswa.
Kama anaharisha ni maziwa yanamgeuka, na ukijaribu kuangalia maziwa vizuri utaona sio mazito yako kama yana majimaji. Jitahidi kumtengenezea lishe yenye kiwango kikubwa cha protein na uache kumnyonyesha.Nanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharisha
Aisee kumbe tupo wengi humu tulio double click.Mtoto hawez haribika mi ilisha nitokea nilibeba ujauzito mtoto akiwa na miez mitano nikashauriwa na daktar kuwa ninyonyeshe hadi mimba ikifika miez saba nimuachishe na wala mtoto hakuharibika nilimnyonyesha mimba ilipofikisha miez saba nikamuachisha
usiambiwe ukweli we nani bwana! Hakuna kipya Duniani hicho hicho ulichoona nimekitoa ndicho ninachoki practice kwa wanangu hawa wawili wa mwishoni ambao nao ni mapacha wa nje kasoro yake mimi nilishika mimba nikiwa na mtoto wa miezi mi 5 kwenda 6, hivyo sitoi mchango wa Mawazo kwa kubahatisha au kusoma comment za watu.Soma kwanza comments zake huyo niliyemjibu huko mwanzoni utaona chanzo kwa nini nilijibu hivi. Afu wee unayejiona mwenye adabu na kupitia kila Comments na kuijibu au kutoa mawazo ambayo tayari yalitolewa . Jaribu kujikakamua angalau ujibu au changia kinachoeleweka.
LadyAJ kama ujiitavyo. Hukunywa maji ya kutosha leo? hii hupelekea akili kunyauka mpz. Mimi pia ni mama . Mwanangu ana miezi 13 sasa . Najua nisemalo pia nina Elimu tosha juu ya hili.We ni hovyo sana, usiambiwe ukweli we nani bwana! Hakuna kipya Duniani hicho hicho ulichoona nimekitoa ndicho ninachoki practice kwa wanangu hawa wawili wa mwishoni ambao nao ni mapacha wa nje kasoro yake mimi nilishika mimba nikiwa na mtoto wa miezi mi 5 kwenda 6, hivyo sitoi mchango wa Mawazo kwa kubahatisha au kusoma comment za watu,
Hata kama uyo uliyemjibu ametoa kitu kisichokuridhisha hustahiri kuita pumba, vijana wa Leo sijui mpoje mmepotoka sana ukute hata mtoto huna hapo ila unajitia mjuzi wa kila kitu na kudharau watu
Hakuna kinachoniuma Duniani, ni furaha kwangu mtu akinikosoa lakini situmii matusi na dharau ya kuita wanachokitoa wengine ni pumba, hivi unaweza kunionyesha hizo comment nilizookota na kuziunga?LadyAJ kama ujiitavyo. Hukunywa maji ya kutosha leo? hii hupelekea akili kunyauka mpz. Mimi pia ni mama . Mwanangu ana miezi 13 sasa . Najua nisemalo pia nina Elimu tosha juu ya hili. Sasa toa ushauri wa kujenga na kuwa kama mama kweli . Toa Comments zako zieleweke na sio kutetea upumbafu kama huko mwanzoni. Sio kuokota comments hapa na pale na kuziunganisha kisha kupost. Sorry! Mbona ukweli unakuuma?
Na wewe baada ya kusoma hizo tafiti jaribu kuzilinganisha na maisha halisi ya mazingira yako sio unabeba beba tu kisa vimetafitiwa na wengine basi unajivimbisha kichwaZa kuambiwa changanya na zako,Jitahidi kupenda kusoma tafiti za watu ili upate kitu kipya,wewe ukipata information huchuji unabeba kama ilivyo ,
Kwa hekima na busara ili kuokoa maisha ya huyo mtoto,nenda katoe,no way through,huyo mtoto bado mdogo sana.Mwenyezi Mungu ndie mjuzi zaidi.Habar zenu wana jf!! Samahani sana kwa usumbufu, naombeni msaada wenu nifanyeje mwenzenu yamenikuta nipo njia panda sina cha kufanya.
Mwanangu bado mdogo miezi minne tu sasa na tayari nina ujauzito. Mtoto kashaanza kuhara kila siku na anazidi kunyong'onyea tuu. Hospitali walimpima hana tatizo, je nifanyeje? Nawaombeni sana mnisaidie ili niokoe afya ya mwanangu.
Najua kuna watu watanitukana ila yote sawa nastahili, ushari wako ni muhimu.
Asanteni.
Miss Natafuta mwambie huyo The secretary, ye anadhani maziwa ya kopo ndio salama zaidi kuliko ya ng'ombe na anasahau kuwa suala la Allergy hutegemeana na mwili wa mtu alivyoumbwa, anakesha kukaririshwa tu badala ya kufanya analysis binafsi ...!Penda kujifunza unapokoselewa,Nenda kaulize kama kuna dr atakeyekushauri kutumia maziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo,na kama hujui maziwa ya formula yanatengenezwaje nenda kajifunze kabla ya kubisha,Juzi kati hapa Drs wameelezea jinsi maziwa ya ng'ombe yanavyoleta allergy especially kwa watoto wadogo ambao uwezo wa kinga kupambana na magonjwa bado ni mdogo.
jamani msiwe na hasira tujadili mada kwa amani maziwa ya formular nayo yana changamoto zake ukutane na kifu feki si huwa unasikia yameua watoto huko china ?chochote kinafaa yawe ya ngombe au formular
acha hizo wewe wamama kibao wanapata ujauzito mapema na watoto wanazaliwa kwendraaaKwa hekima na busara ili kuokoa maisha ya huyo mtoto,nenda katoe,no way through,huyo mtoto bado mdogo sana.Mwenyezi Mungu ndie mjuzi zaidi.
Jitahidi kuspend time nae, muwe nyinyi wawili tu, kama baba unaweza kumwachia baba huyo mchanga kwa masaa mawili, mwende kwenye bembea, mkimbizane, umbebe, amasivyo itamletea psychological effects akiwa mkubwa.Ni kweli unachosema sky Eclat mimi nimeona kwa watoto wangu nijitahidi ku balance mapenzi lkn kuna wakati unajikuta unakuwa makini sana kwa mtoto mchanga.
huyu niliembebea ujauzito mlalamishi sana huwa anajiona kama simpendi.
Asanteacha hizo wewe wamama kibao wanapata ujauzito mapema na watoto wanazaliwa kwendraaa
kwa nini usiende hospital nadhani doctar atakushauri vizuri jinsi ya kumsaidia mtoto wakoNinachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Elimu za mitaani hizo mjomba zisikuchanganye. Idara za afya , ustawi wa jamii/watoto na Ma Dr n.k Hakuna MTU atakushauri kuachisha kunyonyesha mtoto mama akiwa mjamzito. Ukitaka kumshauri MTU hapa shusha nondo kitaalamu na so habari za umbea umbea za mitani za kuomba chumvi au mafuta ya kupikia. Hapa ni kutoa mchango kwa kusaidia jamii na sio kukurupuka baada ya kunywa kiloba cha mbege. Ukiona huna jibu jitahidi angalau kumwuliza Mr Google atakuelimisha kuliko kujiaibisha hapa kwa pumba zako.
Ukila vizuri, maziwa yanatoka mpaka yanamwagika na yanavyouma unatamani anyonye kila wakati ndio unapata afueni... akiwa mvivu utaishia kuyakamua na breast pump na kuyamwaga. Lakini ukila kwa mitego ndio atakunyonya hadi utabaki ngozi na mifupa tu.ahaa mtoto wa kiume anazaliwa na kilo tano halafu mama huna mazia ya kutosha unaambiwa miezi sita anyonye tu eti si atalia mpaka akujazie mtaa?