Ukimaliza ujenzi nina marafiki wana degree za ualimu, naweza kukuunganisha nao.Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadae tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake ukiondoa mambo ya vibali. Nawakilisha kwa msaada zaid.
Naipenda sana hii biashara au day care, nlijaribu nikashindwa ila natamani kujaribu tenaNina utaalamu wa fani hii kaka
Labda uniambie tatizo hasa ni nini maana mwenzangu ulijaribu fanyaNaipenda sana hii biashara au day care,nlijaribu nikashindwa ila natamani kujaribu tena
Kule Magomeni kuna walio anzisha na imewapa unafuu sana wazazi kuhusu malezi ya watoto.Naipenda sana hii biashara au day care,nlijaribu nikashindwa ila natamani kujaribu tena
Labda uniambie tatizo hasa ni nini maana mwenzangu ulijaribu fanyaNaipenda sana hii biashara au day care,nlijaribu nikashindwa ila natamani kujaribu tena
Ni habari njema, kwa maono niliyokuwa nayo nataka kujenga darasa la shule ya chekechea kisha niongeze kidogo kidogo vyumba ili wakitoka chekechea wanaanza la kwanza hapohapo la pili hadi la saba! naomba ushauriKule Magomeni kuna walio anzisha na imewapa unafuu sana wazazi kuhusu malezi ya watoto.
Wanawapa chakula cha mchana kande za nazi au wali maharage watoto wanapenda sana.
Wazazi wanalipa 30-50,000 kwa mwezi ambayo wengi wana mudu.
Sikushindwa mm alishindwa mdogo wangu aliyraminiwa kuisimamia,nlinunua viti 80 na meza 20,ila mdogo wangu!Labda uniambie tatizo hasa ni nini maana mwenzangu ulijaribu fanya
Good let us keep on trying!!!!!!!!!!!!!!Sikushindwa mm alishindwa mdogo wangu aliyraminiwa kuisimamia,nlinunua viti 80 na meza 20,ila mdogo wangu!
Huduma za jamii kwanza sehemu ya vyoo. Unataka vya maji au vya mashimo. Ndiyo maana niliuliza group la watu una wahudumia. Matajiri inabidi uweke vyoo vya kukaa size ya watoto. Kuwe na vya wanawake na vya wanaume.Labda uniambie tatizo hasa ni nini maana mwenzangu ulijaribu fanya
Ni habari njema, kwa maono niliyokuwa nayo nataka kujenga darasa la shule ya chekechea kisha niongeze kidogo kidogo vyumba ili wakitoka chekechea wanaanza la kwanza hapohapo la pili hadi la saba! naomba ushauri
Thanks kwa ushauri mzuri, naufanyia kaziHuduma za jamii kwanza sehemu ya vyoo. Unataka vya maji au vya mashimo. Ndiyo maana niliuliza group la watu una wahudumia. Matajiri inabidi uweke vyoo vya kukaa size ya watoto. Kuwe na vya wanawake na vya wanaume.
Jiko, kama utatoa chakula ni lazima utenge sehemu ya jiko na uweke ka sehemu ka kuhifadhia chakula ki kavu na fridge kwasababu ya perishable goods.
Madarasa ni lazima yatofautishe umri. 3-5, 2-3, kwasababu developmental play zinatofautiana kutokana na umri.
Umeshajenga shule Kwa style hiyo mkuu?Sina experience ya moja kwa moja Ila nimeona na ninaendelea kuona fursa na changamoto katika kuanzisha taasisi ya elimu ya awali na msingi..
..
Yes, nimejenga madarasa yanayotumiwa na taasisi level ya nacte.Umeshajenga shule Kwa style hiyo mkuu?
Yes, nimejenga madarasa yanayotumiwa na taasisi level ya nacte.
View attachment 2125804View attachment 2125805Hii ni Dar? Inapunguza gharama Kwa kiasi gani?