Kuna mama mmoja juz kati nimekutana nae anafanya biashara hii..Aligombana na staff wake aliyemfanya mkuu wa shuke ya sekondari jamaa akaondoka na every single detail inayohusu wanafunzi..
Nafanya kaz sana na mashule na moja ya tatizo kubwa walilonalo sekta hii ya elimu (hasa private) ni utunzaji wa data.
Mwalimu akifukuzwa kazi au akiondoka bas taarifa zote especially za kitaaluma zinategemeana na ustaarab wake whether zidumu au azipoteze..
Nenda shulen anakosoma mtoto wako toka ameanza shule kisha omba databzake za 2 or 3 years back utaona wanavyohangaika na kutapa tapa..
Sky Eclat