Kimolah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 562
- 762
Interlocking bricks zinaungana kwa lock blocks zinaungana kwa motar, interlocking bricks utamlipa fundi kwa sqm blocks utamlipa kwa tofali, interlocking bricks hutalazimika kupiga plaster nene wakati wa finishing ndani blocks utalazimika kupiga plaster nje na ndani .hivyo kiujenzi utajikuta unatumia less material and cost kwa kutumia interlocking bricks kama ambavyo kwa blocks utatumia.Tofauti ya Gharama ya ujenzi wa interlock na block ikoje?!