Interlocking bricks zinaungana kwa lock blocks zinaungana kwa motar, interlocking bricks utamlipa fundi kwa sqm blocks utamlipa kwa tofali, interlocking bricks hutalazimika kupiga plaster nene wakati wa finishing ndani blocks utalazimika kupiga plaster nje na ndani .hivyo kiujenzi utajikuta unatumia less material and cost kwa kutumia interlocking bricks kama ambavyo kwa blocks utatumia.
Vipi kuhusu Durability ya Majengo ya interlocking blocks vs majengo ya Block, na Je kwa nin watu wanapenda kutumia Blocks kuliko interlocking wakat ni cut cost, samahan mkuu niko curious sana[emoji2960][emoji2960]
Durability inategemea vitu vingi.. amongst them ni material na ratio zilizotumiwa kutengeneza hizo tofali, compression force iliyotumika kugandamiza, curring process etc. Watu wanatumia zaidi blocks sababu ndizo zinapatikana kwa urahisi