Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuruhusu kudinya kabla ya ndoa ndiye atakayekushauri kama.uitoe au la.Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu
naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.
Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.
siku hio hio tukashiriki tendo la ndoa bila kinga.
lakini baada ya siku 10, nilimpima UPT nikakuta ana mimba, Doctor akaniambia ina wiki kadhaa!😳😳😳
hapo ndipo wasiwasi ulipoanzia. Inakuaje ??
Leo ni siku ya 31, nimechukua vipimo vya ujauzito kwa mara ya pili, Doctor ananiambia inaonekana kuwa ina zaidi ya mwezi mmoja.
Kipimo chenyewe ni hiki
View attachment 2340632
inakuaje hapa wadau?
Je Doctor yuko sahihi mimba si yangu?
Mpaka sasa nashindwa.kufanya kazi sababu ya mawazo
😂😂😂Wanawake bwana....eti mwagia nje🤣🤣🤣
Mnavyotupigaga roba wakati wa mgegedo ata huo upenyo wa kuchomoa umwagie nje hupati
Mi niko tayari kulea madam.Huyo dokta amejuaje umri wa mimba kwa hiko kipimo?
Sema tu unataka kumtelekeza binti wa watu so unamtafutia sababu
Starehe unapenda ila majukumu hutaki, ungetumia kinga au ungemwaga nje
Tukabiliane vipi bwana kwani nyie hamuwezi kuwajibika juu ya miili yenu😂😂😂
Muwe mnakubaliana basi na matokeo ya hizo mechi
Mimba anayo mtu mwingine alafu unasema mimba si yako na unataka kuitoa, unaanzaje kutoa mimba ambayo hujabeba wewe? Mwenye uwezo wa kutoa mimba ni aliyebeba mimba na si wewe.Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu
naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.
Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.
siku hio hio tukashiriki tendo la ndoa bila kinga.
lakini baada ya siku 10, nilimpima UPT nikakuta ana mimba, Doctor akaniambia ina wiki kadhaa!😳😳😳
hapo ndipo wasiwasi ulipoanzia. Inakuaje ??
Leo ni siku ya 31, nimechukua vipimo vya ujauzito kwa mara ya pili, Doctor ananiambia inaonekana kuwa ina zaidi ya mwezi mmoja.
Kipimo chenyewe ni hiki
View attachment 2340632
inakuaje hapa wadau?
Je Doctor yuko sahihi mimba si yangu?
Mpaka sasa nashindwa.kufanya kazi sababu ya mawazo
Wewe ni mwanaume au mvulana? Unajadili kutoa mimba ambayo hujabeba wewe, si ya kwako. Mwanamke huna ndoa naye alafu unasema una hasirana hata angekuwa mke wako wa ndoa huwezi sema hii mimba nataka kuitoa, vipi mhusika ambaye ni mwanamke akikwambia hayuko tayari toa? labda awe ni mtoto mwenzako. Tafuta hela kwanza wewe bwana mdogo. Hayo waachie wanao yamudu.Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu
naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.
Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.
siku hio hio tukashiriki tendo la ndoa bila kinga.
lakini baada ya siku 10, nilimpima UPT nikakuta ana mimba, Doctor akaniambia ina wiki kadhaa!😳😳😳
hapo ndipo wasiwasi ulipoanzia. Inakuaje ??
Leo ni siku ya 31, nimechukua vipimo vya ujauzito kwa mara ya pili, Doctor ananiambia inaonekana kuwa ina zaidi ya mwezi mmoja.
Kipimo chenyewe ni hiki
View attachment 2340632
inakuaje hapa wadau?
Je Doctor yuko sahihi mimba si yangu?
Mpaka sasa nashindwa.kufanya kazi sababu ya mawazo
Huo udhaifu wenu, kama huwezi kuhudumia tumia sabuniTukabiliane vipi bwana kwani nyie hamuwezi kuwajibika juu ya miili yenu
Sawa bwana wacha tuendelee kuongeza idadi ya single mama.Huo udhaifu wenu, kama huwezi kuhudumia tumia sabuni
Acha kabisa fikra za kuua mimba, mwaache azae hata kama mimba sio yako. Mtakapoua mtalaanika wewe pamoja na kizazi chako chote, chukua tafakari wewe kama mama yako angekuua ungekua wapi sasa.Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu
naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.
Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.
siku hio hio tukashiriki tendo la ndoa bila kinga.
lakini baada ya siku 10, nilimpima UPT nikakuta ana mimba, Doctor akaniambia ina wiki kadhaa!😳😳😳
hapo ndipo wasiwasi ulipoanzia. Inakuaje ??
Leo ni siku ya 31, nimechukua vipimo vya ujauzito kwa mara ya pili, Doctor ananiambia inaonekana kuwa ina zaidi ya mwezi mmoja.
Kipimo chenyewe ni hiki
View attachment 2340632
inakuaje hapa wadau?
Je Doctor yuko sahihi mimba si yangu?
Mpaka sasa nashindwa.kufanya kazi sababu ya mawazo
Libeneke likinoga kifo cha ndeme , mnatubanaga as if hamtatuachia tena , oh Yas oh Yas hapo hapo Nani,baba nanii nakuja nakuja ... Nawaona malaika aiiishhh Mara zimoHuyo dokta amejuaje umri wa mimba kwa hiko kipimo?
Sema tu unataka kumtelekeza binti wa watu so unamtafutia sababu
Starehe unapenda ila majukumu hutaki, ungetumia kinga au ungemwaga nje
Next time akikung'ang'ania mnong'oneze sikioni kuwa "Utalea mwenyewe binti /mamaWanawake bwana....eti mwagia nje🤣🤣🤣
Mnavyotupigaga roba wakati wa mgegedo ata huo upenyo wa kuchomoa umwagie nje hupati
🤣🤣🤣🤣 Ah wacha tuongeze masingle maza sii wanazitaka mimba wenyewe....tuwape wanachotakaNext time akikung'ang'ania mnong'oneze sikioni kuwa "Utalea mwenyewe binti /mama
Ndiyo ndiyo mkuu Tupambane kufikia agenda 2050 kuwa na watu bilioni mbili nukta mbili africa , 60% wakiwa vijana under 25 , Ili kuzuia civilization collapse na kuleta maendeleo , Tupige kazi ..🤣🤣🤣🤣 Ah wacha tuongeze masingle maza sii wanazitaka mimba wenyewe....tuwape wanachotaka
Siku 10 ni sawa na wiki 2, ukiambiwa ni zaidi ya wiki moja ni sahihi.Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu
naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.
Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.
siku hio hio tukashiriki tendo la ndoa bila kinga.
lakini baada ya siku 10, nilimpima UPT nikakuta ana mimba, Doctor akaniambia ina wiki kadhaa!😳😳😳
hapo ndipo wasiwasi ulipoanzia. Inakuaje ??
Leo ni siku ya 31, nimechukua vipimo vya ujauzito kwa mara ya pili, Doctor ananiambia inaonekana kuwa ina zaidi ya mwezi mmoja.
Kipimo chenyewe ni hiki
View attachment 2340632
inakuaje hapa wadau?
Je Doctor yuko sahihi mimba si yangu?
Mpaka sasa nashindwa.kufanya kazi sababu ya mawazo
Kama mtoto sio wako si uachane na mwanamkeMi niko tayari kulea madam.
TAtizo ni kulea mtoto asiye wangu