Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

mtu umekutana naye mwezi wa nne, leo ni mwezi wa nane, na unajiona unao uwezo kummiliki na kumuamulia vihusuvyo mwili wake, na una hasira. wewe ni mjinga.
 
Ondoa wasiwasi mkuu iyo mimba ni ya kwako usimtelekeze mwenzio ....mara nyingi madaktari huwa wanakosea kukadiria muda ....ondoa shaka kabisa
 
Back
Top Bottom