Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

🤣🤣🤣🤣 mimba siyo yako uitoe? utashtakiwa
 
Mpaka anafunga Safari kuja kwako .

Kusema ukweli bila kupepesa macho,alipasha kiporo Kwa jamaa yake ,kiporo kimempa Mimba.
 
Aliyekuruhusu kudinya kabla ya ndoa ndiye atakayekushauri kama.uitoe au la.

Yaani ufukue binti wa watu huko kizembe zembeubaga halafu zygote ikatikie ndani ndo utuone sisi wa maana sana kukushauri uitoe au la.


Next time ujifunze kuacha kuchezea future za mabinti wa wenzako.

Ngoma ndo lele hiyo. Subiri malezi ndo mtanange kamili
 
Wanawake bwana....eti mwagia nje🤣🤣🤣
Mnavyotupigaga roba wakati wa mgegedo ata huo upenyo wa kuchomoa umwagie nje hupati
😂😂😂
Muwe mnakubaliana basi na matokeo ya hizo mechi
 
Huyo dokta amejuaje umri wa mimba kwa hiko kipimo?
Sema tu unataka kumtelekeza binti wa watu so unamtafutia sababu

Starehe unapenda ila majukumu hutaki, ungetumia kinga au ungemwaga nje
Mi niko tayari kulea madam.
TAtizo ni kulea mtoto asiye wangu
 
Mimba anayo mtu mwingine alafu unasema mimba si yako na unataka kuitoa, unaanzaje kutoa mimba ambayo hujabeba wewe? Mwenye uwezo wa kutoa mimba ni aliyebeba mimba na si wewe.
Wewe ni mwanaume au mvulana? Unajadili kutoa mimba ambayo hujabeba wewe, si ya kwako. Mwanamke huna ndoa naye alafu unasema una hasirana hata angekuwa mke wako wa ndoa huwezi sema hii mimba nataka kuitoa, vipi mhusika ambaye ni mwanamke akikwambia hayuko tayari toa? labda awe ni mtoto mwenzako. Tafuta hela kwanza wewe bwana mdogo. Hayo waachie wanao yamudu.
 
Acha kabisa fikra za kuua mimba, mwaache azae hata kama mimba sio yako. Mtakapoua mtalaanika wewe pamoja na kizazi chako chote, chukua tafakari wewe kama mama yako angekuua ungekua wapi sasa.
 
Hiyo mimba siyo YAKO , haipo tumboni mwako why uhangaike nayo.

Acha kiherehere mkuu
 
Huyo dokta amejuaje umri wa mimba kwa hiko kipimo?
Sema tu unataka kumtelekeza binti wa watu so unamtafutia sababu

Starehe unapenda ila majukumu hutaki, ungetumia kinga au ungemwaga nje
Libeneke likinoga kifo cha ndeme , mnatubanaga as if hamtatuachia tena , oh Yas oh Yas hapo hapo Nani,baba nanii nakuja nakuja ... Nawaona malaika aiiishhh Mara zimo
 
Wanawake bwana....eti mwagia nje🤣🤣🤣
Mnavyotupigaga roba wakati wa mgegedo ata huo upenyo wa kuchomoa umwagie nje hupati
Next time akikung'ang'ania mnong'oneze sikioni kuwa "Utalea mwenyewe binti /mama
 
🤣🤣🤣🤣 Ah wacha tuongeze masingle maza sii wanazitaka mimba wenyewe....tuwape wanachotaka
Ndiyo ndiyo mkuu Tupambane kufikia agenda 2050 kuwa na watu bilioni mbili nukta mbili africa , 60% wakiwa vijana under 25 , Ili kuzuia civilization collapse na kuleta maendeleo , Tupige kazi ..


😅😅
 
FUTA HAYO MAWAZO YA KUTAKA , KUSHAURI HUYO MWANAMKE WAKO KUTOA MIMBA AMBAYO SIYO YAKO, UTAPATA LAANA, MIKOSI , BALAA NYINGI.
 
Siku 10 ni sawa na wiki 2, ukiambiwa ni zaidi ya wiki moja ni sahihi.

Siku 31 ni zaidi ya mwezi vyote ni sahihi.

Nakushauri subiri mtoto azaliwe kama atazaliwa chini ya miezi 9 tangu mkutane kimwili basi uwe na shaka.
Na ikiwa atazaliwa na miezi 9 ni wako au kama hautaridhika utapima DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…