Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Aug 31, 2022 #41 Kwani umemuoa
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Aug 31, 2022 #42 mtu umekutana naye mwezi wa nne, leo ni mwezi wa nane, na unajiona unao uwezo kummiliki na kumuamulia vihusuvyo mwili wake, na una hasira. wewe ni mjinga.
mtu umekutana naye mwezi wa nne, leo ni mwezi wa nane, na unajiona unao uwezo kummiliki na kumuamulia vihusuvyo mwili wake, na una hasira. wewe ni mjinga.
vumiliag JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 413 Reaction score 764 Sep 1, 2022 #43 Ondoa wasiwasi mkuu iyo mimba ni ya kwako usimtelekeze mwenzio ....mara nyingi madaktari huwa wanakosea kukadiria muda ....ondoa shaka kabisa
Ondoa wasiwasi mkuu iyo mimba ni ya kwako usimtelekeze mwenzio ....mara nyingi madaktari huwa wanakosea kukadiria muda ....ondoa shaka kabisa