Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

Hiii formula niliiitumia sana lkn nikajikuta napoteza mademu wazuri
huyu jamaa sio ushaur anatafuta unachokitafuta ni mtu wa ku support huu upumbavu unao fanya....
okay lemme support endelea kua exploited mkuu endelea kuhudumia tuu good things take time
ila ungekua karib na mimi makofi yangekuhusu maana una uhanangwa uliochangamka [emoji57]
 
Nikumchoma moto tuuu
 
Vipi hali hii ni mpaka kwenye huduma za viungo vya uzazi au viungo vyenyewe vinashirikiana kwa dhati?
 
Inaweza kuwa kwel
Kwa maisha ya Sasa acha kabisa kujidanganya Kuna binti wa peke yako na mwanaume kuwa na binti mmoja ni uchumi wa Kati tu unasumbua, Ila ukiwa Kama na watatu kuendelea no stress za kijingajinga.
 

Ampeleke pizza hut au kfc akale kuku aone kama atachomoa
 
Nani alimfuata mwenzake..

Kuepuka tabu kama hizi, sitongozi mtoto wa mtu, anaenitaka anifate

Kama wewe ndio ulimfata, sii una shida nae, tulia akuoneshe zing zong[emoji23]
 
kisa chako kinafanan kiasi na changu baada ya kuona mmi ndo nae mtafta nilibadli gia angani now yapata mwaka na nusu te tet te te naskia anadai mi ndo bwana ake inafurahisha sana apo tiyari nishatia mimba girl ingne nalea kid
 
Sisi tukusaidieje labda??
 
hivi watu mnawezaje kujipendekeza kwa kiwango hicho? yani huyo siku mbili nyingi ningeshakata kamba.
 
Mwaka mzima we unatumaga meseji tu..., hata hayati JPM alisema ukiona anazingua unapiga chini unatafuta mwengine sio kujikalisha unatuma tuma vimeseji tu!
 
Bora ya wewe mi ndio Tangu mwezi wa tatu amekula 290k. na Text ananinibu kifupi nashukuru nimeshindwa kabla hajala sana Hela zangu.
Yani karibia 300K unasema hajala sana hela mzee baba unajua hio ni kodi ya miezi 6 kwa chumba chenye umeme na maji uswahilini?

Bora ungebetia hio pesa mdogo mdogo huenda ungekuwa ushakula faida😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…