Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

Bro umeandika huu uzi ili watu waulize huyo mchungaji watume hela pumbavu zako acha utapeli mkuu
 
Nenda kanisan kwao ukajaribu.
Haya makanisa ya Kiroho huwa yana nguvu zake.

Shuhuda ni nyingi

Iwe wanatumia nguvu kinzan au hawatumii.

Ila kwakuwa ww unaenda pale na kutoa dhaka na kuamini ni Yesu ndio anakufungulia njia.
Then ww huna dhambi.

Nashauri nenda.
Baki na utakaso wako pia.
 
Kila mmoja anapitia magumu ni namna watu wanavoweza kukabiliana nayo
Kufel Kwa maisha sio kwamba et uhame Iman yako utafute Iman ingine Hilo ni jaribu umepewa na mungu tafuta namna ya kuongea naye na pia tafuta suluhisho la mambo yako Kwa watu wenye uzoefu na mambo hayo
 
Upo kazini bado unasema maisha yamekuchanganya kaka?Njoo huku bariadi nikupe mashamba ulime mpunga uone tabu zilipoanzia au twende Mgusu ukashike moko ndio utajua maisha yako ni mepesi au magumu.

Upo kwenye early stage ya kuingia kwenye crisis.Fungua moyo, wakati wa Mungu ni wakati sahihi na ahadi zake ni za kweli.Baki kwenye kanisa lako,fanya kilichopo ndani ya uwezo wako ukishindwa basi. Wewe sio wa kwanza kushindwa na hautakuwa wa mwisho
 
mwaka 2022 nilihudhuria mkutano wa mwamposa bukoba, baada ya hapo nilifanikiwa kuacha pombe, pia nilipata nafasi ya kwenda semina moja adhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…