Hivi ukishatoa kilemba unampa na bei halisi ya kodi ya mwenye nyumba au ndio yale ya kujiongezea percent kwenye kodi halisi ya chumba cha biashara kama wale vijana wa Moshi stand pale?Ni fremu iliyo tupu. Mfano mimi ndiye niliyekua nimeingia mkataba na mwenye nyumba na nataka kuachana na hiyo bishara sasa nataka niuze fremu ikiwa tupu. Yaan mzigo wangu na kila kitu changu nachukua. Nakuachia frem tupu. So kuhusu bei yake tunakubaliana mimi na wewe. Bado ya udalali. Na eneo linapokua potential zaidi ndo gharama inazidi kuwa juu
Hahaha acha mbwembwe dogo.
Unamtoza mtu laki 8 kwa wazo LA biashara, wewe kwanini usiifanye hio biashara na uoneshe mfano kwamba umefanikiwa
Kwa moshi kwa kweli sina ujuzi nako. Kwa kkoo unaendelea kama kawaida na kodi aliyoiacha mpangaji aliyekuachiaHivi ukishatoa kilemba unampa na bei halisi ya kodi ya mwenye nyumba au ndio yale ya kujiongezea percent kwenye kodi halisi ya chumba cha biashara kama wale vijana wa Moshi stand pale?
Moshi ilibidi manispaa iingilie kati maana hali ilikuwa mbaya, Manispaa wanauza frame laki 2 mpangaji wa kwanza akiichukua anaongeza 2 na malipo unamlipa laki 4 yeye ndio anaenda kulipa manispaa maana ndio anatambulika. Akija mtu wa tatu anamlipa huyu wa pili laki 6 kwa mwezi 😁😁😁!!!Kwa moshi kwa kweli sina ujuzi nako. Kwa kkoo unaendelea kama kawaida na kodi aliyoiacha mpangaji aliyekuachia
Yani haikwepeki kuu maana hakuna fremu ambayo haina mtu kwenye zile centre za biasharaLazima ulipe Kilemba cha kumvua mtu fremu? 😂😂😂 Dah ila biashara za kibongo bwana jau kweli! Hapo Bado hujaanza kusumbuliwa na wazee wa Tai za rangi ya karoti wale 😂😂😂
Hahahi ila dar si za watu bunafsi?Moshi ilibidi manispaa iingilie kati maana hali ilikuwa mbaya, Manispaa wanauza frame laki 2 mpangaji wa kwanza akiichukua anaongeza 2 na malipo unamlipa laki 4 yeye ndio anaenda kulipa manispaa maana ndio anatambulika. Akija mtu wa tatu anamlipa huyu wa pili laki 6 kwa mwezi [emoji16][emoji16][emoji16]!!!
Mwisho Manispaa ikaja kuwatimua wote baada ya kugundua huo uhuni na bei ikapanda ikawa laki 4 na mmiliki haruhusiwi kumpangishia mtu mwengine.
Kufanya biashara kanda ya ziwa inabd uwe mchawi Tu , watu ni arrogant Sana kule na ni washirikina to the maximum.... Hata jiwe naye ana mindset za hvyo hvyo , uganga na ushirikina ni first attempt katika kusolve matatizo.....na hii inatokana na poor education backgroundMkuu Njoo kanda ya Ziwa nkupeleke visiwani, mfano Ghana, Siza, Giziba, Izinga... Nunua mafuta ya jumla kwa iyoo helaa tumia milioni 20tu utapataa mpaka Lita elfu 12, milioni kumi iliyobaki ni kuandaa eneo la kuweka matenki jenereta na mashine za kupimia mafuta, milioni tano ubakize km backup....kwa msimu mmoja unaweza kuuza mpk lita 50k.....lita unaweza kuinunua tsh 1850 kule wanauza mpaka 2300..
Usisahau kutafuta Mganga huu ni ushauri ambao wengi awatakupa ila ni muhimu, pesa ulindwa na kudhibitiwa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother yaani umenisema mimi kabisa bila hata kubakiza neno moja. Nina mahindi gunia 445 nimenunua kwa bei ya 50,000/= na soko halipandi. Hapa najikaza kiutuzimaHayo mambo ya kununua nafaka na kuzitunza store, yalishapitwa na wakati, utakuja kulia!! Siku hizi unakuta karibia kila mwaka kuna mvua za kutosha, hivyo mavuno ni mengi, usitegemee bei kupanda ki vile!! Msimu huu waliotunza mahindi wanalia, walinunua gunia kwa sh.50,000 leo hii mtu anataka alinunue kwa 40,000!!! Kwa hiyo pesa yako huku huku kwenye mazao unaweza pata net profit ya hadi milioni 3/ kwa wiki!! Ni kujua chanels tu. Hutajutia
Pole mkuu!!sisi wafanya biashara wa mazao, tunapata updates za masoko kila muda, kama rais anavyopata za usalama wa nchi!!hahaa, hiyo ipo mpanda watu wanalia huko balaa!!biashara za kuhifadhi mazao store siku hizi, ni nadra sana kupata faida kama ilivyokuwa zamani, kwanza soko la ndani tu liko hoi, kutokana na purchasing power kuwa kidogo, masoko ya nje yapo, lakini nayo ni changamoto, huyo anayejiita NFRA,Brother yaani umenisema mimi kabisa bila hata kubakiza neno moja. Nina mahindi gunia 445 nimenunua kwa bei ya 50,000/= na soko halipandi. Hapa najikaza kiutuzima
Kwa mil 35? Sio rahisi kama unavyodhani nasema hivyo coz nipo katka hiyo kada .labda awe na mil 70 ndio anaweza fanya hivyo vitu,au afungue pharmacyNauboresha huu ushauri...maana hapa nod kuna hela.
Mkuu kwa pesa yako hiyo fanya hivi.
[emoji117]Tafuta mji ambao ndo unaanza kukua au umekua ila huduma za afya bado hazijakua.
[emoji117]Tafuta nyumba kubwa tu kwa miji kama hiyo kodi unaweza kukuta kwa mwezi nyumba nzima haizidi laki 3.
[emoji117]Baada ya kulipa kodi labda ya mwaka mzima sawa labda na milioni 3.6(hapa lipa kishika uchumba kwanza labda laki 2 kabla ya kulipa kodi).
[emoji117]Nenda manispaa onana na DMO,afanya mpango akakague jengo na mazingira akipitisha.
[emoji117]Fanya ukarabati utakao ambiwa nafikiri kwa nyumba iliyokamilika hautamaliza 5M
[emoji117]Hakikisha mazingira yanavutia,nunua na vifaa sio lazima ununue vipya kuna used kibao vilivyo na hali nzuri kwa gharama nafuu..weka huduma ya dispensary yenye RCH ndani yake...huduma ziwe nzuri na bei ya kawaida...ukiwa na uwezo weka na meno na nunua Ultrasound ya bei poa hata ya milioni 10.
[emoji117]Tafuta wafanyakazi wachache wenye uzoefu kisha kaa mwenye golini wanapolipia ndani ya mwaka utakua mtu mwingine na huduma zikiwa bomba bro utapiga hela mpaka basi.
Mfano mdogo nakupa Dawa kama Doxcy boksi linauzwa 6400 ambao kila boksi linakaa na blister 10 na kila blister moja ina vidonge kumi sawa na vidonge 100.Kwahiyo kwenye boksi moja unatoa dozi 10 dispensary ninayofanya kazi dozi moja wanauza elfu 4 hivyo kwa kila boksi unatoa elfu 40.Drip unazoziona bei ya jumla unanunua 850-1000 ila mtu utamuwekea kwa elfu 10 hapo ukitoa giving set na scalp vein faida yako ni 8000.
Bado sikwambii kwenye kitengo cha Dental jino kung'oa ni elfu 10 ,mng'oaji anaweza chukua elfu 3 ,ukitoa gharama ya ganzi na syringe unakuta unabaki na faida ya elfu 6,,,bado kwemye ultrasound na RCH bado kuna kesi za Kusafisha ,kutahiri nk.
Bro biashara ya afya inalipa hasa ukiwa mjanja na akili nyingi inalipa sana.
Nb:ukishindwa Dispensary basi funguo maabara ya kisasa au pharmacy ule maisha.
Kwa mil 35? Sio rahisi kama unavyodhani nasema hivyo coz nipo katka hiyo kada .labda awe na mil 70 ndio anaweza fanya hivyo vitu,au afungue pharmacy
Kwa mil 35? Sio rahisi kama unavyodhani nasema hivyo coz nipo katka hiyo kada .labda awe na mil 70 ndio anaweza fanya hivyo vitu,au afungue pharmacy
Mkuu Njoo kanda ya Ziwa nkupeleke visiwani, mfano Ghana, Siza, Giziba, Izinga... Nunua mafuta ya jumla kwa iyoo helaa tumia milioni 20tu utapataa mpaka Lita elfu 12, milioni kumi iliyobaki ni kuandaa eneo la kuweka matenki jenereta na mashine za kupimia mafuta, milioni tano ubakize km backup....kwa msimu mmoja unaweza kuuza mpk lita 50k.....lita unaweza kuinunua tsh 1850 kule wanauza mpaka 2300..
Usisahau kutafuta Mganga huu ni ushauri ambao wengi awatakupa ila ni muhimu, pesa ulindwa na kudhibitiwa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazao hayakati ni wewe tu jinsi ulivyocheza nayo.Mkuu nilinunua mwaka Jana mazo yametukata mwaka huu
Brainwashed creature..uganga ndio asili ya mwafrikaKufanya biashara kanda ya ziwa inabd uwe mchawi Tu , watu ni arrogant Sana kule na ni washirikina to the maximum.... Hata jiwe naye ana mindset za hvyo hvyo , uganga na ushirikina ni first attempt katika kusolve matatizo.....na hii inatokana na poor education background