MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Nakubaliana na wewe kabisaNingekuwa Mimi ndio wewe ningefungua Pharmacy kubwa 20M tu then ningetulia nianze kula faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kabisaNingekuwa Mimi ndio wewe ningefungua Pharmacy kubwa 20M tu then ningetulia nianze kula faida
Tafuta mentor yaan mtu ambae yuko kwenye biashara fulan ambayo succsefull..mweleze ukwel..hata mdanganye kuwa hyo ndo the only cash u have. Nenda kwa unyenyekevu mwombe akuongoze kwenye biashara yake hyo hata umpe asilimia fulan kwenye faida yako utakayokuwa unapata..kwa muda flan labda miaka miwil then unaamuaga..atakufundisha na kukupitisha kote how yeye anatoboa..na utakua umefanya jema. Na pia usianze na hela yote anza na mtaj wa 10m...zingne piga fixed deposit...Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani?
Tabora mwezi wa pili ni msimu wa karanga.Niko Tabora
Kwani usijiandikie wewe huo mpango wa Biashara na ukaifanya wewe ili utoboe zaidi kuliko kutaka izo 800,000 z uyo jamaaKuna biashara naweza kukushauri kitaalamu ba kukuandikia mango wa biashara nikishirikiana na mawazo yako
Ila itabidi ulipie tsh. 800,000/= na lazima ukubali uje tukae pamoja tuandike kati ya siku 2 zisizozidi tatu
Hutojuta
Karibu!!!
Kwani usijiandikie wewe huo mpango wa Biashara na ukaifanya wewe ili utoboe zaidi kuliko kutaka izo 800,000 z uyo jamaa
Bro micha cha habari cha uzi huu chahusika
Wengine tungepata hata milion 3 tu ningeshatoboa kimaisha nakua na uwakika WA kuish fresh tu na mtaji unaendelea kuzaa tunatofautiana mkuuUkiwa na fedha za mtaji na hujui biashara ya kufanya basi wewe huna kipaji cha biashara na ukilazimisha uwezekano wa ku-fail ni mkubwa.
If you think education is expensive try ignorance for your own riskDah, na wewe laki 8 tena ...aiseee maisha yanaenda kasi sana.
Naomba contact zako mkuuUsinunue mazao na kuweka store nenda sokoni uwe unanunua nafaka kwa wakulima na wale wanaotoa vijiji, we uwe unauza kama wholesale
Ukiwa unanunua afu unaweka store ukisubili price kupanda hiyo sio biashara bali ni kamali cos posibility ya kushuka inakuwepo kubwa
Ushauli wangu: Fanya research ya nafaka unayotaka kuuza mfano mchele anzia wanakonunulia(kobolewa) inaweza ikawa Kahama, Mpanda, Mbeya n.k ili kujua season kwa mwaka ukimaliza tafuta store town hapa wanapouza nafaka agiza au uwe unaenda mwenyewe mwanzo hautakuwa unapata faida kubwa ila kadri muda unavyozidi kwenda faida utayona tena kubwa kubwa
Mwisho wasiku utapata wenyeji wa maeneo uliyochulia mzigo watakuwa wanajua wewe unataka mchele wa aina gani so itakuwa rahisi kwao kukutumia mzigo unao utaka au una mechi na soko lako
Nb: Ninapatikana Moshi (kiusa) jilani na panoni petro station nauza maharage na mchele kutoka kahama grade 1 kiroba 50kg 85000 kwa kilo 1700 na grade 2 kiroba 50kg 75000 kwa kilo 1500 na maharage price ya sokoni kwa jumla 2200 ya songea na 2300 kwa yanayotea sanya juu hapahapa moshi
Nakufata PM mkuuMkuu nafaka anza na mtaji wa 10m au 15m baada ya mwaka utaniambia
We kunywa bia..biashara hutoziwezaNiko Tabora
Hizo idea ziwekeni hapa. Acheni hizo.Nicheki 0746626015 nikupe aidia ya biashara
Nauboresha huu ushauri...maana hapa nod kuna hela.
Mkuu kwa pesa yako hiyo fanya hivi.
[emoji117]Tafuta mji ambao ndo unaanza kukua au umekua ila huduma za afya bado hazijakua.
[emoji117]Tafuta nyumba kubwa tu kwa miji kama hiyo kodi unaweza kukuta kwa mwezi nyumba nzima haizidi laki 3.
[emoji117]Baada ya kulipa kodi labda ya mwaka mzima sawa labda na milioni 3.6(hapa lipa kishika uchumba kwanza labda laki 2 kabla ya kulipa kodi).
[emoji117]Nenda manispaa onana na DMO,afanya mpango akakague jengo na mazingira akipitisha.
[emoji117]Fanya ukarabati utakao ambiwa nafikiri kwa nyumba iliyokamilika hautamaliza 5M
[emoji117]Hakikisha mazingira yanavutia,nunua na vifaa sio lazima ununue vipya kuna used kibao vilivyo na hali nzuri kwa gharama nafuu..weka huduma ya dispensary yenye RCH ndani yake...huduma ziwe nzuri na bei ya kawaida...ukiwa na uwezo weka na meno na nunua Ultrasound ya bei poa hata ya milioni 10.
[emoji117]Tafuta wafanyakazi wachache wenye uzoefu kisha kaa mwenye golini wanapolipia ndani ya mwaka utakua mtu mwingine na huduma zikiwa bomba bro utapiga hela mpaka basi.
Mfano mdogo nakupa Dawa kama Doxcy boksi linauzwa 6400 ambao kila boksi linakaa na blister 10 na kila blister moja ina vidonge kumi sawa na vidonge 100.Kwahiyo kwenye boksi moja unatoa dozi 10 dispensary ninayofanya kazi dozi moja wanauza elfu 4 hivyo kwa kila boksi unatoa elfu 40.Drip unazoziona bei ya jumla unanunua 850-1000 ila mtu utamuwekea kwa elfu 10 hapo ukitoa giving set na scalp vein faida yako ni 8000.
Bado sikwambii kwenye kitengo cha Dental jino kung'oa ni elfu 10 ,mng'oaji anaweza chukua elfu 3 ,ukitoa gharama ya ganzi na syringe unakuta unabaki na faida ya elfu 6,,,bado kwemye ultrasound na RCH bado kuna kesi za Kusafisha ,kutahiri nk.
Bro biashara ya afya inalipa hasa ukiwa mjanja na akili nyingi inalipa sana.
Nb:ukishindwa Dispensary basi funguo maabara ya kisasa au pharmacy ule maisha.
Lazima ulipe Kilemba cha kumvua mtu fremu? 😂😂😂 Dah ila biashara za kibongo bwana jau kweli! Hapo Bado hujaanza kusumbuliwa na wazee wa Tai za rangi ya karoti wale 😂😂😂Umepiga hesabu nyepesi Sana mkuu, kilemba cha kuachiwa fremu ya vyombo hakipungui M 15-20 kwa fremu za ndani, za nje hata hiyo35M yake haitoshi kilemba.