Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

Huu Uzi mkuuu nmeuelewa wengi wetu tunatamani duka kama hlo ila tunafeli padogo sana katika kulianza duka mpaka liwe duka na lianze kukuingizia kipato binafsi hii idea ni nzur kwa sababu hela inazunguka apo apo ila ungetusaidia kwa ufafanuz mfano labda kwa kuanza kama mini viwepo yan almost ad liitwe duka kwa gharama ndogo mfano million 2 labdla tuanze na. Frem 1. Almost laki 3 kwa miez 6 kwwhyo inabak moja 7 tupe mchanganuo tunaweza Fanya wengine wakapata idea kupitia wee mkuu
 
Na Ni kweli huwa aliangushi ukiipatia location waha wengi wamo San ktk hii business

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
tupe mchanganuo
Nilikua nampa mwanga tu ndugu yetu kitu chakufanyia hela yake

ila kama umeuelewa muhtasari nlioutoa kwa ufupi bila shaka unatamani

biashara,sasa chakufanya anza research ndogo ndogo ya wapi unataka duka

lako likae,vitu vya kuanza navyo unaweza tu ukamuuliza wife au wewe binafsi angalia

ni vitu gani humalizi wiki hujaenda fata dukani,au wife n vitu gani hasa ananunua ukisha

pata jibu unakuja kujiuliza sasa ninunue kwa kiasi gani ili nianzie,hapo sasa ndio mtaji wako utaongea.

Yapo Mengi ya kuzingatia ila epuka kuwa motivated kupitia michanganuo ya watu kuhusu biashara flani,hakikisha biashara unayotaka kuifanya ulishawahi kuiota au kuiwaza,epuka kuishi ktk ndoto za wengine hii itakuokoa na hasara au kushindwa biashara huko mbeleni.

yote kwa yote Duka TAMU.
 
Hakuna biashara nzuri kama ununuzi wa mazao kama nafaka!! Mchele,mahindi,soya,maharage,karanga,mtama,korosho,ufuta. Ni biashara ambayo the more unapokuwa na mtaji the more inakupa faida!! Na walaji huwa hawaishi.!!! Wekeza pesa yako huko utakuja kunishukuru baadae...zama vijijini kusanya mzigo ,safirisha uje nao mjini!!Kwa mwezi ukiweza kutrade mara 4 unakuwa na bonge la faida.....haiwezekani uwekeze 2.5-2.7M kununua bodaboda ambayo kwasiku inakuingizia faida sh 7000-10000 huku bado inakudai kodi,service na bado dereva anaweza kukuletea magumashi....wakati hiyo 2.5M ni mtaji wa kujaza canter nzima ya tangawizi huko same.
 
Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana

Kama unafaham changamoto au ushauri plz sema
Chakula hakiachi kununuliwa ni lazima, pata sehemu yenye mzunguko au mradi mkubwa wa ujenzi kama bomba la mafuta wauzie mama Lishe unga, maharage, mchele na mafuta ya kupikia
 
Tuko pamoja kiiongoz nmekupata Sana
 
Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana

Kama unafaham changamoto au ushauri plz sema
Boda marejesho mtihani
Ila kipindi nafanya biashara hii nilikua naingia mkataba na mtu kwa miezi sita hadi nane lkn kabla ya ya kumkabidhi boda inabidi anipe milion moja, pesa nyingine inabidi amalize ndan ya miez ya mkataba ambayo ilibid anipe milioni mbilj na point, hii ilisaidia uaminifu kwa kiasi fulan na wateja wangu walikua wale boda ambao wanajichanga wapate kununua pikipiki zao wenyewe hvyo ndna ya miez sita pikipiki inakua yake na anaitunza kweli kwa sababu anajua ni yakr muda ukifika ni kumpa kadi tu
 
Asante sana.
Asante sana.
Asante sana.
 
Ina hela ukiendesha mwenyewe ila kumpa dereva akuletee hesabu usijaribu kabisa
Ili swala la kumpa dereve akuletee hela lionekane lina mantiki, ahakikishe anao uwezo wa kumfyatua akili kidogo huyo dreva vinginevyo atafeli.
 
Kikubwa usimamiz na masharti makali mfano me ninayo moja hesabu kwa siku 7000 pikipiki inalala kwangu service nafanya mwenyew kwa mwez Mara 3 elfu 18 pamoja na oil 36 elf apo MTU anafanya kaz vzur
Yani unapokea 7000 kwa siku??
 
Hizi biashara za uchuuzi ni kupoteza muda tu.
 
Kwani hio milioni6 umeipataje?SIRI ya biashara unayotaka kufanya unayo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…