Tembelea wale watu wanaofunga GPS kwenye vyombo vya moto cjui upo mkoa gani ila haina garama almost laki na nusu tuEbu nipe hii akini nimwage bodaboda mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembelea wale watu wanaofunga GPS kwenye vyombo vya moto cjui upo mkoa gani ila haina garama almost laki na nusu tuEbu nipe hii akini nimwage bodaboda mtaani
Tanga uku hyo ni hesabu tuu mkataba ni kumpa maisha MTU aisee c unajua vijana awana kazi kwahyo lazma wakipata unapiga umo umo achague yey sass aache au LA au apange yey hela ya kukuleteaUpo wapi mkuu? Na hiyo buku 7 ni mkataba wa muda gani?
Huu Uzi mkuuu nmeuelewa wengi wetu tunatamani duka kama hlo ila tunafeli padogo sana katika kulianza duka mpaka liwe duka na lianze kukuingizia kipato binafsi hii idea ni nzur kwa sababu hela inazunguka apo apo ila ungetusaidia kwa ufafanuz mfano labda kwa kuanza kama mini viwepo yan almost ad liitwe duka kwa gharama ndogo mfano million 2 labdla tuanze na. Frem 1. Almost laki 3 kwa miez 6 kwwhyo inabak moja 7 tupe mchanganuo tunaweza Fanya wengine wakapata idea kupitia wee mkuuBiashara ya boda boda ni nzuri kama utaendesha mwenyewe,japo siku hizi imekua biashara ngumu kiasi maana abiria hawapandi mtu wasie mjua.
binafsi hata mimi sipandi tu boda boda ilimradi nimepanda,hivyo ili uanze ona matunda ya hii biashara itakubidi uchaji solar sana kijiweni wakati wenzio unawaona wanatoka na kuingia.
ukizoeleka biashara utapga sana ila hapo mpaka uzoeleke sasa (maji umeyaita mma)
Kwa mtaji huo nakushauri kitu ambacho vijana wengi wanakichukulia poa mno mwisho wake wanawaza mabiashara yasio na future ya kueleweka.
Binafsi siwezi fanya biashara ya boda,ila mkuu nakushauri kwa mtaji huo Hebu kaa chini tafuta location nzuri chukua frem kisha fungua DUKA LA MANGI.
duka la vitu vya majumbani tunapenda kusema dukani kwa mangi,Mkuu nakuhakikishia hili duka ukiweza litunisha mtaji kama ulionao ukajaza mazaga zaga yote na mkawa wawili (wewe na waifu) waifu mchana yote anatoka saa 8:00 usiku,wewe unaingia muda huo hadi majogoooo, BABA BABA BABA mchawi lazima uitwe braza.
Duka la mangi ni biashara bomba sana yenye Future inayoeleweka,unapokua na mtaji mkubwa biashara ya Mangi inakupa more income ila boda boda hata ujambe uharishe hutokaa hata siku 1 ulaze faida LAKI ng'ooo utachora chini.
DUKA LA MANGI uwezo wa kulaza faida zaidi ya 100k per day kila siku biashara ikija changanyia mwendo wa 360km/hr boss kama nakuona hivi utavyokuja nishukuru badae.
Achana na ma idea ya vijana sijui boda boda,sijui toyo,sijui bolt,nk (sidharau hizi idea zao) lakini future yahizo biashara zao ni inaonekana kabisa, binafsi mimi sasa hivi huwezi niambia nifungue biashara ambayo nikiiangalia baada ya 5yrs haitoweza nipa 500k per day, sifungui mimi biashara.
Biashara zenye COSTANT INCOME sizitaki na wala siziwezi,napenda duka la mangi maana the more the capital the more the income the more the customer,nk
DUKA la Mangi ni biashara ambayo kijana yeyote anaetafuta maisha na amedhamiria kupambana na ana mtaji basi simshauri mara mbili namwambia tu mara 1 Asijifikirie aifanye bila kusita sita.
Duka la mangi linauza vingi brooo,kuna mchele,unga,sabuni,wine zote,vinywaji vyote yani unakusanya unakusanya hadi ukija jumlisha faida unasema Asante BABA wewe ni mkuu.
Mama yangu alikua akimiliki duka la mangi ezi hizo,ilikua ukiingia dukani chini sakafuni kuna coin kama zote zimedondoka,huwa haziokotwi dukani kuna coin nikawa najiuliza kwann mama anaacha pesa chini? nikienda dukani kwake najifanya viatu vinanibana nikiwa pale nnje nakunywa soda navua viatu then natafuta namna yyte ile niingie dukani,napita kukanyaga maeneo yenye coin nazifinya na kidole cha mguu naziinua natia mfukoni...
Mpaka nitoke dukani mfukoni nishamake hadi buku, (buku enzi zetu wazee sio masihara)
Leo nimekua ndio naelewa kwanini duka la mangi lina pesa,kwann mama alikua haokoti coin zikidondoka,mkuu duka ya mangi ina pesa kuliko watu wafikiriavyo.
Nafanya biashara nyingi ila mwaka Huu biashara yangu kubwa ninayoenda ifungua ni DUKA LA MANGI brother penye asali washirikshe na wengine,ifanye hii biashara ina faida nyingi sana sana sana.
Na Ni kweli huwa aliangushi ukiipatia location waha wengi wamo San ktk hii businessBiashara ya boda boda ni nzuri kama utaendesha mwenyewe,japo siku hizi imekua biashara ngumu kiasi maana abiria hawapandi mtu wasie mjua.

Mbaya wewe😃njoo hapa kitambaa cheupe nikushauri. nipo na wadau tunajadili mambo hayo hayo ya ujasiriamali
Nilikua nampa mwanga tu ndugu yetu kitu chakufanyia hela yaketupe mchanganuo
🤣🤣🤣 tozo zimenvurugaMbaya wewe😃
Chakula hakiachi kununuliwa ni lazima, pata sehemu yenye mzunguko au mradi mkubwa wa ujenzi kama bomba la mafuta wauzie mama Lishe unga, maharage, mchele na mafuta ya kupikiaNimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana
Kama unafaham changamoto au ushauri plz sema
Tuko pamoja kiiongoz nmekupata SanaNilikua nampa mwanga tu ndugu yetu kitu chakufanyia hela yake
ila kama umeuelewa muhtasari nlioutoa kwa ufupi bila shaka unatamani
biashara,sasa chakufanya anza research ndogo ndogo ya wapi unataka duka
lako likae,vitu vya kuanza navyo unaweza tu ukamuuliza wife au wewe binafsi angalia
ni vitu gani humalizi wiki hujaenda fata dukani,au wife n vitu gani hasa ananunua ukisha
pata jibu unakuja kujiuliza sasa ninunue kwa kiasi gani ili nianzie,hapo sasa ndio mtaji wako utaongea.
Yapo Mengi ya kuzingatia ila epuka kuwa motivated kupitia michanganuo ya watu kuhusu biashara flani,hakikisha biashara unayotaka kuifanya ulishawahi kuiota au kuiwaza,epuka kuishi ktk ndoto za wengine hii itakuokoa na hasara au kushindwa biashara huko mbeleni.
yote kwa yote Duka TAMU.
Boda marejesho mtihaniNimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana
Kama unafaham changamoto au ushauri plz sema
Mkuu mchanganuo wa hii biashara tafadhalihiyo hela ni Bora uanzishe biashara ya mafuta ya kula ya alizeti kutoka singida utanishukuru
Asante sana.Ngoja nijitahidi nikijuacho…
1. Wewe na mfuko
2. Hapo sasa ni ww, either ufungue frame/ stoo ama uwe unaweka home kwako kama kuna nafasi….
3. Changamoto ipo wakati ambapo alizeti iko shambani,, pale unaweza pata alizeti itakayokutoleshea mafuta yasio mazuri… yenye povu na machungu
4. Dumu la lita 20 Singida linauzwa 80K.. unaweza pack kwa 5lt ama ukauza lt 20… ukipack kwa 5lt sana sana 5lt utakuja kuuza kwa 27000 au juu pia kutegemea na soko .. ktk 20lt utatoa 5lt 4= 108,000 … ukitoa 80k uliyonunulia dumu la 20lt,, itabaki faida 28,000…. Ndani ya 28,000 toa gharama za kidumu cha 5lt na stika utakayobandika kwenye pack yako ya 5lt… hii itakusaidia hata uweze kuuza mafuta kwa supermarkets….
Ukitoa hapo hizo cost waweza bakia na 25k kama faida kwa dumu moja la 20lt
Ili swala la kumpa dereve akuletee hela lionekane lina mantiki, ahakikishe anao uwezo wa kumfyatua akili kidogo huyo dreva vinginevyo atafeli.Ina hela ukiendesha mwenyewe ila kumpa dereva akuletee hesabu usijaribu kabisa
Yani unapokea 7000 kwa siku??Kikubwa usimamiz na masharti makali mfano me ninayo moja hesabu kwa siku 7000 pikipiki inalala kwangu service nafanya mwenyew kwa mwez Mara 3 elfu 18 pamoja na oil 36 elf apo MTU anafanya kaz vzur
Hizi biashara za uchuuzi ni kupoteza muda tu.Biashara ya boda boda ni nzuri kama utaendesha mwenyewe,japo siku hizi imekua biashara ngumu kiasi maana abiria hawapandi mtu wasie mjua.
binafsi hata mimi sipandi tu boda boda ilimradi nimepanda,hivyo ili uanze ona matunda ya hii biashara itakubidi uchaji solar sana kijiweni wakati wenzio unawaona wanatoka na kuingia.
ukizoeleka biashara utapga sana ila hapo mpaka uzoeleke sasa (maji umeyaita mma)
Kwa mtaji huo nakushauri kitu ambacho vijana wengi wanakichukulia poa mno mwisho wake wanawaza mabiashara yasio na future ya kueleweka.
Binafsi siwezi fanya biashara ya boda,ila mkuu nakushauri kwa mtaji huo Hebu kaa chini tafuta location nzuri chukua frem kisha fungua DUKA LA MANGI.
duka la vitu vya majumbani tunapenda kusema dukani kwa mangi,Mkuu nakuhakikishia hili duka ukiweza litunisha mtaji kama ulionao ukajaza mazaga zaga yote na mkawa wawili (wewe na waifu) waifu mchana yote anatoka saa 8:00 usiku,wewe unaingia muda huo hadi majogoooo, BABA BABA BABA mchawi lazima uitwe braza.
Duka la mangi ni biashara bomba sana yenye Future inayoeleweka,unapokua na mtaji mkubwa biashara ya Mangi inakupa more income ila boda boda hata ujambe uharishe hutokaa hata siku 1 ulaze faida LAKI ng'ooo utachora chini.
DUKA LA MANGI uwezo wa kulaza faida zaidi ya 100k per day kila siku biashara ikija changanyia mwendo wa 360km/hr boss kama nakuona hivi utavyokuja nishukuru badae.
Achana na ma idea ya vijana sijui boda boda,sijui toyo,sijui bolt,nk (sidharau hizi idea zao) lakini future yahizo biashara zao ni inaonekana kabisa, binafsi mimi sasa hivi huwezi niambia nifungue biashara ambayo nikiiangalia baada ya 5yrs haitoweza nipa 500k per day, sifungui mimi biashara.
Biashara zenye COSTANT INCOME sizitaki na wala siziwezi,napenda duka la mangi maana the more the capital the more the income the more the customer,nk
DUKA la Mangi ni biashara ambayo kijana yeyote anaetafuta maisha na amedhamiria kupambana na ana mtaji basi simshauri mara mbili namwambia tu mara 1 Asijifikirie aifanye bila kusita sita.
Duka la mangi linauza vingi brooo,kuna mchele,unga,sabuni,wine zote,vinywaji vyote yani unakusanya unakusanya hadi ukija jumlisha faida unasema Asante BABA wewe ni mkuu.
Mama yangu alikua akimiliki duka la mangi ezi hizo,ilikua ukiingia dukani chini sakafuni kuna coin kama zote zimedondoka,huwa haziokotwi dukani kuna coin nikawa najiuliza kwann mama anaacha pesa chini? nikienda dukani kwake najifanya viatu vinanibana nikiwa pale nnje nakunywa soda navua viatu then natafuta namna yyte ile niingie dukani,napita kukanyaga maeneo yenye coin nazifinya na kidole cha mguu naziinua natia mfukoni...
Mpaka nitoke dukani mfukoni nishamake hadi buku, (buku enzi zetu wazee sio masihara)
Leo nimekua ndio naelewa kwanini duka la mangi lina pesa,kwann mama alikua haokoti coin zikidondoka,mkuu duka ya mangi ina pesa kuliko watu wafikiriavyo.
Nafanya biashara nyingi ila mwaka Huu biashara yangu kubwa ninayoenda ifungua ni DUKA LA MANGI brother penye asali washirikshe na wengine,ifanye hii biashara ina faida nyingi sana sana sana.
Mbona pesa yenyewe haitoshi pikipiki 3Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana
Kama unafaham changamoto au ushauri plz sema
Ahahahha mkuu unashauri b'ness ganHizi biashara za uchuuzi ni kupoteza muda tu.