JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Hapo hapoo mwisho!
kachanganyikiwa pale niliposema mama noahism nahisi hajaelewa nlichomaanisha ila naamini wewe umeelewa
:amen: :amen: vipi ni kuPM namba yangu ya akaunti usaidie kufanya moyo wangu kuwa laini?
Mama yangu anakupenda kwasababu u mtiifu na mwenye hekima!
hahahahahahaha, hapa ni muhimu tufuate procedures maana isije ikaonekana nimetoa rushwa
Ushindwe ! Mfate mkeo Shenazi
hahahahahahaha, hapa ni muhimu tufuate procedures maana isije ikaonekana nimetoa rushwa
asante my dear nmefurahi mama yako kulikubali hili bila kipingamizi
rushwa haikubaliki, ni dhambi
Shenazi una mjua au haumjui?
hiyo itakuwa takrima mamaa... Wala hainashida... Teh teh teh
Mi thimjui aisee... Kwani ni Multiple ID Ya nani?
Karibu Slave siwe kukusahau brother wa ukweli
najua huwezi, pia nitaongea na my wife tuone tutachangia nini katika huu mchakato kama wanafamilia, kitu kimoja nimefurahia namna ambavyo mama pamoja na mchumba wako walivyofanikiwa kukubaadilisha tabia toka katika utukutu mpaka kuwa mwana mwema.
Takrima? Subiri uje polisi makao makuu kule station uje kuchukua asubuhi
Nani jana alisema anakupenda?
Polisi....!!?? HQ?? We nipitishie tu hapa home Ukonga aisee 😛eace: