African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi Sanaa.Karibu kiumeni bosi, kuna mambo mengi kwenye taasisi hizi uwe na kifua tuu jamaa angu[emoji16]
Ambia ukweli huyu chalii.Mazee tumwambie ukweli huyu au tumwache tu?
Hahah dah,najua hatokuelewa
Ndoa sio kitu kibaya lakini hakikisha unamjua vema unayemuoaWakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Je nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili.
Natanguliza Shukrani.
Huyu mwenye shat nyeusi ndio bwana drake[emoji23][emoji23]
Nataman nimwambie aache bado mdogo...ila mwache akajionee mwenyeweMazee tumwambie ukweli huyu au tumwache tu?