Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Iheshimu ndoa yako kamwe usimsaliti mkeo.
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili.
Natanguliza Shukrani.