Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

Iheshimu ndoa yako kamwe usimsaliti mkeo.
 
Kijana unafahamu changamoto za ndoa kweli, I tell you truth from the bottom of my heart...UMEKURUPUKA wewe bado mdogo sana kuyavaa hayo majukumu....Think big AKILI MTU WANGU!
 

Anza kula karanga mbichi na maziwa mtindi na kitanda weka chaga nzuri zenye uimara na nyoa msitu wa mabwepande huo kila la heri kwa kuingia cha kike!miaka 20 unakimbilia ndoa?hizi ndio zile tunaziitaga ndoa mihemuko.
 
kuwa mvumilivu dogo kuna KUCHAPIWA...
 
Ya kwenu ni ya kwenu tu. Mambo ya kushauriwa kila saa hamna kitu. Always aim kutatua na kutengeneza nyumba yenu nyinyi wenyewe. Anyways I hope umethink through this..hujakurupuka..I really hope🙂
 
Mwenzio nna mwaka mmoja na nusu tangu nioe,
Nakula mbuthuthu😄,
 
Kila la kher kijana, amini MUNGU tu.. Ila ki ukweli ndoa inahitaji kutumia akili zilizokomaa sio mihemko ya kimwili na akili za kukopa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…