Nina ndoto Nina ndoto wa Tanzania wenzangu

Wakianzisha huo utaratibu wajue ndio utakuwa utaratibu rasmi,nimeona Chadomo wamezusha kwenye account zao huko Twitter.

Ngoja tusubirie tuone.
Huu ndio mchezo rasmi, unasema chadomo wakati hizi nyuzi ni za wanaccm, na Paskali Mayalla kaleta uzi wa hivyo jana hapa jf? Haya mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi, makundi ya wenye uchu wa madaraka lazima wafanye yao maana wanajua hakuna aliye kwa ridhaa ya wananchi, bali makundi ya maslahi binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ