Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Mungu hufanya majira na wafalme. Mungu hufanya yale soote hatuyawazi wala hatuyafikirii.
Namuona Mungu wa Tanzania 🇹🇿 Mungu wa Baba Yetu Nyerere anajambo lake anajambo lake sio wanadam wala sio mwingine ila mtoto amekimbiziwa Misri.
View attachment 3228392