Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Swadaktaaa!Container karibu na Kwa akina Andrew Mwela 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadaktaaa!Container karibu na Kwa akina Andrew Mwela 😄
Maisha yanakwenda kasi sana....kama UVCCM nilimpigia sana kampeni mh.Yusuf Juma Mwenda kushinda udiwani kata ya Mikocheni...akashinda kura nyingi ila tukagaragazwa ubunge na Hallima Mdee....mgombea wetu Angela Kizigha chaaaliiii......Container karibu na Kwa akina Andrew Mwela 😄
Rais gani mropokaji....Hatuwezi kuwa na Rais mnyoa kiduku labda akawe Rais wa Korea Kaskazini!
Lissu apate tuition kwa Mbowe namna kiongozi mkubwa anavyopaswa kuonekana!
Ndevu kama za beberu na unyoaji wa viduku! Awe Rais wa CHADEMA inatosha!
😂😂😂Maisha yanakwenda kasi sana....kama UVCCM nilimpigia sana kampeni mh.Yusuf Juma Mwenda kushinda udiwani kata ya Mikocheni...akashinda kura nyingi ila tukagaragazwa ubunge na Hallima Mdee....mgombea wetu Angela Kizigha chaaaliiii......
Kutoka udiwani ,umeya mpaka ukurugenzi TRA....maisha ni fumbo sanaa....
...wa moto mnooo....alikuwa chuma cha pua....tulimhara mno....alijaza watu kampeni pale Tanganyika packers...tulishindwa ubunge kihalali ha ha ha😂😂😂
Halima Mdee enzi zake alitisha sana
Ikawaka na kuwa kubwa kama jua na kuangaza!Nyota Kutoka Brasil
Kwa hiyo amewekwa na JK kama yeye alivyowekwa wakat ule? Hahah.Kama ulimsikia JK pale Lupaso msibani kwa Ben alisema 1995 ilishasemwa na mwalimu akitoka Ben ni JK 2005 kisha....😀
Ha ha ha haSugu amemaliza ziara ya vijijini? 😂
Tumainiel una uhakika Mungu wa Tanzania je ni Mungu wa Muumba wa mbingu na dunia? Au ni mungu ambaye ni mwenge?Mungu hufanya majira na wafalme. Mungu hufanya yale soote hatuyawazi wala hatuyafikirii.
Namuona Mungu wa Tanzania 🇹🇿 Mungu wa Baba Yetu Nyerere anajambo lake anajambo lake sio wanadam wala sio mwingine ila mtoto amekimbiziwa Misri.
View attachment 3228392
Unawaza kama mimi, iko hivi ukiona mtu yoyote JPM alimshuku au kuzinguana nae jua huyo mtu hana uzalendo na Nchi. Nataman tungetumia maono ya JPM tutoke hapa tulipo.Nchimbi ni zao la walewale tunaofikiri wanaturudisha nyuma.
Naona tukirudia makosa yaleyale
Yusuph Juma effect.Kutoka udiwani ,umeya mpaka ukurugenzi TRA....maisha ni fumbo sanaa....
Huyo ndio Mwenda mwenyewe boss wangu wa zamani katika majukwaa ya siasa.....Yusuph Juma effect.