Nina ndoto Nina ndoto wa Tanzania wenzangu

Nina ndoto Nina ndoto wa Tanzania wenzangu

Hiyo migombani street Sasa

Karibu hapa Polos Mkuu

Zena Bar Kwa akina Prisca mbele kidogo Timo Misokia Ndio unafika Kwa akina Dibo Richard Kasesela na Jobaka 😂😂😂
....kaka mkubwa Richard Kasesela tulikuwa wote "amsha amsha CCM " tawi letu CCM regency kontena kipindi cha katibu Chacha haswa uchaguzi mkuu wa 2010.....
 
Sisi wachezesha mashine wa kiroho kamari yetu tumempa Lisu.


Afe shetani au afe malaika ndio ishapitishwa!
Hatuwezi kuwa na Rais mnyoa kiduku labda akawe Rais wa Korea Kaskazini!
Lissu apate tuition kwa Mbowe namna kiongozi mkubwa anavyopaswa kuonekana!
Ndevu kama za beberu na unyoaji wa viduku! Awe Rais wa CHADEMA inatosha!
 
Back
Top Bottom