Nina ndoto Nina ndoto wa Tanzania wenzangu

 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
Mimi namjua ajaye kwasababu niliambiwa na Mzee Kingunge akiwa nyumbani kwako pale Victoria nyumba yake ikitazamana na Shule ya Msingi Makumbusho miaka hiyooooo mara tu baada ya JK kushika usukani.
Shule ya Msingi Makumbusho πŸ˜„

Ile mitaa nawakumbuka pia Mzee Ngahyoma, Kanali Kimbau, Mzee Batenga, Mzee Kopa na Prof Mushi kule mbele zaidi Prof Kighoma Malima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmemkataa mtu yule kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…