Nina ndoto Nina ndoto wa Tanzania wenzangu

Naona mkuu una u'Pascal Mayala Ndani Yako...
 
Fitina ,uzushi koko.,..

Taifa letu takatifu liko chini ya CHIFU HANGAYA....

Yupo saaanaaa ,aaamin aaamin aaamin!!!
 
Hahahaha....nyuma ya msikiti kuelekea maghorofa ya pamba , Pembeni nyumba ya masister ..🤣😆🤣
Ewaaaaa....

Godfrey alirudi kutoka ng'ambo....akaanzisha pub pale nyumbani kwao...mishikaki ya nundu mitamu pale ,hapo jirani na nyumba aliyokuwa anaishi Mh.Mbelwa Kairuki kabla hajawa balozi....
 
Ewaaaaa....

Godfrey alirudi kutoka ng'ambo....akaanzisha pub pale nyumbani kwao...mishikaki ya nundu mitamu pale ,hapo jirani na nyumba aliyokuwa anaishi Mh.Mbelwa Kairuki kabla hajawa balozi....
Hahahaha napajua pale corner , ilikua maskani poa Sana pale, baadae alichukua mdada mmoja hv ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…