Nina ndoto Nina ndoto wa Tanzania wenzangu

Container karibu na Kwa akina Andrew Mwela πŸ˜„
Maisha yanakwenda kasi sana....kama UVCCM nilimpigia sana kampeni mh.Yusuf Juma Mwenda kushinda udiwani kata ya Mikocheni...akashinda kura nyingi ila tukagaragazwa ubunge na Hallima Mdee....mgombea wetu Angela Kizigha chaaaliiii......

Kutoka udiwani ,umeya mpaka ukurugenzi TRA....maisha ni fumbo sanaa....
 
Hatuwezi kuwa na Rais mnyoa kiduku labda akawe Rais wa Korea Kaskazini!
Lissu apate tuition kwa Mbowe namna kiongozi mkubwa anavyopaswa kuonekana!
Ndevu kama za beberu na unyoaji wa viduku! Awe Rais wa CHADEMA inatosha!
Rais gani mropokaji....

Sisi ni waafrika na si akina Trump.....Lissu hafai hata kuwa mkuu wa wilaya.....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halima Mdee enzi zake alitisha sana
 
Kukosa shukrani ni shida mbaya. Huwez kusaidia ondoka. One mistake one goal. Kila Moja Yuko kazini. Hakuna anaelala. Watch out.
 
Tumainiel una uhakika Mungu wa Tanzania je ni Mungu wa Muumba wa mbingu na dunia? Au ni mungu ambaye ni mwenge?
 
Nchimbi ni zao la walewale tunaofikiri wanaturudisha nyuma.

Naona tukirudia makosa yaleyale
Unawaza kama mimi, iko hivi ukiona mtu yoyote JPM alimshuku au kuzinguana nae jua huyo mtu hana uzalendo na Nchi. Nataman tungetumia maono ya JPM tutoke hapa tulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…