Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Kabisa mkuu kila mafanikio Yana historia tusikate tamaa ipo siku mambo yatakaa Sawa.
 
Umetoka kwa Mwamposa lini??
 
Mkuu nakutakia mafanikio mema kwnye ndoto zako, ila issue kubwa naiona inaanzia kwenye jina unalojiita hapa! Kwa kuwa unafanya kiimani zaidi then universe inapokea kile unachoiambia, sasa umeanza kuiambia unaitwa poor brain ndugu yangu, matokeo yako pia yatakuwa poor in the 1st place. Anza kwa kujitamkia na kujiita hilo jina la Director mkubwa wa Africa ili mind yako ilipokee, na kukupeleka unapoombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…