Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Asante sana mkuu ngoja nakifanyia kazi hilo mkuu wangu
 
Na imani mkuu dua yako itanipeleka mbali sana hata hvo unefikilia mbali sana kuhusu universe na umeniambia ukweli usiopingika mkuu ngoja nifanye hivo kwa sasa rasmi nabadili jina kwenye huu uzi na kutumia jina langu la kzi kama director
 
Asante sana mtumishi kwa kutukumbusha jambo jema
 
Naona kama umechanganya vitu vingi na ujue kitunguu saumu kina nguvu sana then umemalizia na tabs
 
Director, hata Baltazar ni director wa fedha. Kuna ma director wa makampuni, mashirika nk. Wewe unataka kuwa director wa kitu gani?
 
Shukran dactar kwa ushauri wako...
Najua upo sahihi sana unaposema sky is limit.

Hi ilinikuta gafula tuu usiku wa manane aiseeee nitapambania ndoto yangu mpaka kieleweke
 
Director, hata Baltazar ni director wa fedha. Kuna ma director wa makampuni, mashirika nk. Wewe unataka kuwa director wa kitu gani?
Tangu uzi uanze ni wewe umeniuliza hvi..
Mkuu natamani kuwa DIRECTOR wa movies hapa afrika mashariki na kati.

Director mkubwa ambaye tabadilisha soko la bongowood...

Nataka nifanye makubwa kwenye hii tasnia ya film tanzania na afrika mashariki kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…