Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #121
Daaah mkuu kuna kitu unacho hapo ila naona umeongea kwa summary sana..Humu watu wamekomaa na " jina lina reflect image yako" mbona kuna watu wanajiita chma ch mapinduzi ila mapinduzi hatuyaoni.
"Words has power" ndio ila sio kwenye mafanikio. Kwenye mafanikio ni Mindset yako, Support, right people and doing what you love
Sio ukijiita Bill gates ndo utakua tahiri
Ndo nn mkuuPhilipo hakunyatii Tena.
Unasomea hio fani au ni passion tu ya u directir?Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope.
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Papii kocha Song Waambie
Hata mimi ningechekaa π€£π€£π€£π€£π€£Nakumbuka niliwahi kutana na watu wa media flan hvi kubwa hapa bongo daah niliwambia ndoto yangu ila walinicheka sana tena sana aiseeee mpka na mimi nikawa nacheka ...
mhhhhhAnza kutengeneza short films, weka youtube tuone
Ndo practice hiyo
Jiunge na film festivals ukutane na watu mbalimbali
Tunaweza tukakutana nina mpango wa kuwa mdau wa documentaries
Kumbe unanyatiwa na filipo muda wote huo na hauniambii?Ndo nn mkuu
Naongelea hao wanaosema 'eti jina unalojiita poor brain lina reflect image yako/yaani wewe ulivyo.Daaah mkuu kuna kitu unacho hapo ila naona umeongea kwa summary sana..
Nakuomba kwa muda fafanua kidogo hapo mkuu
UNge waonyesha kazi ulizo kwisha fanya au script ulizo andika wasinge kucheka. Ila hivihiv kwa kuongea lazima wakuchekeNakumbuka niliwahi kutana na watu wa media flan hvi kubwa hapa bongo daah niliwambia ndoto yangu ila walinicheka sana tena sana aiseeee mpka na mimi nikawa nacheka ...
πππ Daah acha tu mwanangu, mida hiyo pombe ikikua inanitesa tu.Vishu Mtata ndugu yangu..
Mda huu unaota hata ujui kuwa kuna mda inabidi uamke uombe.....
ππππ Unachowaza kujirekodi tuu π
Mkuu tayari kuna video nime fanya nime direct kuna nyimbo inaitwa celebrity ya lili joh angalia kule yutube..Unasomea hio fani au ni passion tu ya u directir?
Una taka uwe una control production inayoshoot au u specialize na video editing?
Kama una ndoto za kuwa movi director basi naku challenge tumia hata simu ku shoot tuone uwezo wako, tafta watu / mazingira u shoot ili ujijenge mdogmdogo sio usubiri mpk uje upate vifaa ndo uanze kutimiz ndoto zako
ππππππππππππππππππ Daah acha tu mwanangu, mida hiyo pombe ikikua inanitesa tu.
Haya maisha kuna time unaweza yakatia tamaa dadeki
InshaallahKila la kheri
Ntaanza kumuomba mzee,πππππππππππππππ
Daaah vishu muombe mungu msamaha sana an
Mkuu pale nilienda kufanya field..UNge waonyesha kazi ulizo kwisha fanya au script ulizo andika wasinge kucheka. Ila hivihiv kwa kuongea lazima wakucheke
Sikutegemea kunambia hivo...πππππππ
Mkuu fanya utukutanishe tuu mda ukifika...Mdogo wangu Poor Brain nafuatulia posts zako ktk huu naona kabisa una kiu ya kutumiza ndoto zako. Simamia unachokiamini Inshallah utafanikiwa na kuna dogo mwingine yupo humu ni mwandishi mzuri sana wa script huwa natamani sana kufanya naye kazi kwa njia nyingine lakinj naamini mkikutana na kuunganisha mawazo na ujuzi mtafika mbali sana.