Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #141
Acha pombe sawaNtaanza kumuomba mzee,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha pombe sawaNtaanza kumuomba mzee,
Naunguza taratibu taratibuAcha pombe sawa
Hio video ya celebrity nimeiona , hongera kwa kazi nzuri. Sita ongelea mambo ya camera angle, video transition,location, video idea kwa vile ndo game ndo linaanza hivyo.Mkuu tayari kuna video nime fanya nime direct kuna nyimbo inaitwa celebrity ya lili joh angalia kule yutube..
Ile kazi nimefanya japo nime base sana kwenye editing mkuu..
Vifaa nipo kutafuta kidogo kidogo mkuu...
Kuhusu fani mkuu mii nimesoma multimedia pia napenda hivi vtu na nimeandika sana story mkuu..
Hapa naandika script vizuri tuu
Na edit na ku shoot.
Hii kitu napenda mkuu...
Napenda sna tena sana.
Ukiacha hilo mkuu mi naweza kukuchambulia movie A to Z mpaka ukajua nime direct
Reality is wrong. Dreams are for real - 2PacNina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope.
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Papii kocha Song Waambie
Acha pepo hilo wakemee alaahNaunguza taratibu taratibu
Mkuu shukran kwa feedback yako mkuu hapa naanza kujipanga na hiyo project ya short film alafu tuone itakuaje mi kwa sasa naanza kufanya kweli maana nilikua nawaza tafanya kazi baada ya kupata vifaa vikubwa ila umenifundiasha kitu...Hio video ya celebrity nimeiona , hongera kwa kazi nzuri. Sita ongelea mambo ya camera angle, video transition,location, video idea kwa vile ndo game ndo linaanza hivyo.
Ili kuunyesha uwezo wako tengeneza video tano ziwe mfumo wa short film ya dakika 5 au documentary ambayo script umeandaa wewe camera na production umesimamia wewe. Tumia simu. Lengo watu watambue/kuuona uwezo wako.
Ishu ya vifaa sio tatizo. Ukitumia simu na watu wakauona uwezo wako. Sizan kama ukimuomba mtu fedha awekeze kwenye project yako atakataa au uombe vifaa kwa wenye film company wata kukatalia
Nigeria kuna watoto wametengenez short film kwa kutumia simu tena science fiction ndo hapo uwezo wao ulipo onekana na wakapata ufadhili wa vifaa.
Usisubiri mpak upate cemera yeny uwezo mkubwa au fedha nyingi. Anza na kidogo ulichonacho. Uwezo wako ukionekana hivyo vyote utavipata.
Daaah hapo sijakupata mkuu hata kidogoReality is wrong. Dreams are for real - 2Pac
Daaah mkuu bana umekaa ki negativity sana aiseee ..Kuwa director hakuhitaji kukesha bali ujuzi. Nilidhani unaweka mikakati ya kuwa director mkubwa kumbe unakesha ukilia. Endelea kulia mkuu utaishia kuwa mliaji mkubwa A.mash. What you are doing is what you gona be. Mwenzio Ronaldo alipotaka kuwa mchezaji mkubwa alikesha viwanjani akifanya mazoezi.
Mbona mwenyewe umeandika ukikesha ukilia kwa maombi ! Hivi kukushauri ni kuwa negative ? Unajua negative ?Daaah mkuu bana umekaa ki negativity sana aiseee ..
Mi nafanya jitihada ungejua lengo la huu uzi wala usinge ongea yote hayo na kukashifu mkuu..
Mimi sijalia hata kidogo.. afu kingine ndo nyie wachawi wenyewe.
Swa nashukuru kwa ushauli wako mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏Mbona mwenyewe umeandika ukikesha ukilia kwa maombi ! Hivi kukushauri ni kuwa negative ? Unajua negative ?
Ningeandika " hutafanikiwa kamwe" au "huwezi "au "unapoteza muda " ila nimeandika kuwa director kunahitaji mazoezi kama mwenzio Ronaldo. Au wewe ndio huelewi kiswahili ?
Ukija jukwaaani uwe serious kidogo. Unajua mtu kusoma maoni yako napo kakuheshimu, unafikiri watu wanasoma kila andiko hapa?
Nadhani ulitakiwa unishukuru kuliko kunibyeda.
Wajina wajina...😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙌Ameeenooo
Amin utatimiza ndoto zako mimi pia natamani kuwa film maker hasq kwenye upande wa uandishi wa script, huwa najaribu kuwatumia watu wanasema nitume synopsis pekee nikifanye hivyo wanasema tutakucheki ila ndo mazimaNina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope.
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Papii kocha Song Waambie
Mkuu tufanye... Ngoja nikitimiza baadhi ya vitu hapa kidogo kidogo alafu tutawasiliana mkuuAmin utatimiza ndoto zako mimi pia natamani kuwa film maker hasq kwenye upande wa uandishi wa script, huwa najaribu kuwatumia watu wanasema nitume synopsis pekee nikifanye hivyo wanasema tutakucheki ila ndo mazima
Maazimio mazuri but why call yourself Poor Brain? That's what will be manifestedNina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope.
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Papii kocha Song Waambie
PoaMkuu tufanye... Ngoja nikitimiza baadhi ya vitu hapa kidogo kidogo alafu tutawasiliana mkuu
Name does not matter....Maazimio mazuri but why call yourself Poor Brain? That's what will be manifested
Maninaaaaa step 1 lazima jasho la ...... Likutoke mkuu oooh