Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Ndoto zinaruhusiwa
 
Ongea vizuri na wapiga kura....
 
Nikiwa Rais njia ntakazotumia kuondoa umaskini Tanzania; mambo mawili (i&ii) yataenda sambamba na malengo ndani ya miaka 10 ni kama yafuatayo;-
i) Kuzalisha umeme wa megawatts 1,000,000 (gigawatts 1000)
Umeme wa uhakika na bei nafuu ni moja ya msingi muhimu sana wa viwanda, hizi zitachangia kushusha gharama za uzalishaji viwandani.

ii)Serekali kushirikiana na sekta binafsi itajenga viwanda zaidi ya laki 1 na nusu (150,000), na kila kimoja kitaajiri wafanyakazi kiwango cha chini wafanyakazi 200 (wa kiwandani na ofisini) na kuendelea
100,000*200=20,000,000 (watu million ishirini)
 
Magari ya umeme na mafuta ya aina yote suv, truck, saloon, bus n.k yatatengenezwa from scratch hapa Tanzania na bei yake itakua nafuu sana
 
Ntaifanya Tanzania kuwa nchi ya opportunity kwa watu wote na sio watu wachache kama ilivyo sasa
 
Kwani wewe ni January?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…