unauhakika vimekufa?Mwl Nyerere alikuwa na maono Kama ya kwako,palikuwa ZZK,UFI, GENERAL TYRE,NMC, NATIONAL PANASONIC, N.K,,,vyote hivyo vimekufa.
NINI KIMESABABISHA VIWANDA VYOTE HIVYO KUFA?View attachment 3089990
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unauhakika vimekufa?Mwl Nyerere alikuwa na maono Kama ya kwako,palikuwa ZZK,UFI, GENERAL TYRE,NMC, NATIONAL PANASONIC, N.K,,,vyote hivyo vimekufa.
NINI KIMESABABISHA VIWANDA VYOTE HIVYO KUFA?View attachment 3089990
una uhakika gani utawanyoosha, au wewe ndio watakunyooshaKwanza uwe mwanachama hai wa CCM, jitahidi ugawe chama sehemu mbili A na B, sehemu moja iwe upinzani. Ingia upinzani na utoe hoja zenye mashiko kama ulizotoa, uwe na damu inayofanana na JPM. Chukuwa nchi, pambana na yeyote yule mwenye ufisadi. Hakika utainyoosha nchi.
mbona na vya watu binafsi vinakufa, lake soap na gardenia vilikufa, tanalec nacho kilikufa, swala, sahara foundry, vyote vilikufa, biashara ni suala mtambuka sio fallacial argumentum tuKwa kumalizia ukiona mradi wa mwendokasi unasua sua huku una monopoly ya route hio summary tosha kwanini viwanda vilikufa
- Corruption and culture of impunity ambayo mpaka leo ipo
- Hakukua na viwanda vya asili mfano vya kuchakata aluminium, copper, steel, na polymers
- Serekali haikuwekeza kwenye tafiti za viwanda,
- Bei ndogo za bidhaa kama zilizokuwa zinazalishwa kutoka abroad
- Ushindani kutoka viwanda vya nchi nyingine watanzania hawajaandaliwa kushindana
- Maono ya viwanda alikuwa nayo tu nyerere huku wasaidizi wake wakawa wanachukulia poa
hii dunia ina wenyewe, ukitaka kujua fuatilia habari za dangote refinary kule nigeriaAsilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanategemea mjasiriamali asilimia 20 iliyobaki ina nguvu hata kuziua biashara je hiyo asimilia 20 unaijua vizuri inaitwa, the entrepreneur and his her environments yaani mjasiriamali na yanayomzunguka
Hiyo asilimia 20 ndiyo imetufikisha hapa tulipo hivyo vyote ulivyo vitaja haviwezi kufanikiwa bila ufumbuzi wa hii asilimia 20
Kamwe siwezi tumia njia za JPM nchi inatakiwa iwe na taasisi imara na sio strongmanKwanza uwe mwanachama hai wa CCM, jitahidi ugawe chama sehemu mbili A na B, sehemu moja iwe upinzani. Ingia upinzani na utoe hoja zenye mashiko kama ulizotoa, uwe na damu inayofanana na JPM. Chukuwa nchi, pambana na yeyote yule mwenye ufisadi. Hakika utainyoosha nchi.
Changamoto yako umejikita kwenye kukosoa anzisha uzi ili ueleze unachojua na misamamo yakombona na vya watu binafsi vinakufa, lake soap na gardenia vilikufa, tanalec nacho kilikufa, swala, sahara foundry, vyote vilikufa, biashara ni suala mtambuka sio fallacial argumentum tu
Ili ujenge taasisi imara inabidi wewe kwanza uwe imara hadi zisimame. Ni swala la muda na kuhakikisha mafisadi hawaziingilii. Mfano kujenga jeshi imara la polisi inabidi ufukuze mafisadi wote na kuweka watu wenye uadilifu na maadili. Pia inabidi uwalipe misharaha ya kutosha. Inabidi ufanye hivyo kwenye Taasisi nyingine kama Magereza, Salama, Takururu, Tamisemi ni kazi inayohitaji mkono wa chuma.Kamwe siwezi tumia njia za JPM nchi inatakiwa iwe na taasisi imara na sio strongman
Huihitaji mkono wa chuma bali unahitaji taasisi imara na dhamira ya ukweliIli ujenge taasisi imara inabidi wewe kwanza uwe imara hadi zisimame. Ni swala la muda na kuhakikisha mafisadi hawaziingilii. Mfano kujenga jeshi imara la polisi inabidi ufukuze mafisadi wote na kuweka watu wenye uadilifu na maadili. Pia inabidi uwalipe misharaha ya kutosha. Inabidi ufanye hivyo kwenye Taasisi nyingine kama Magereza, Salama, Takururu, Tamisemi ni kazi inayohitaji mkono wa chuma.
Unazijengaje taasisi imara bila kuwa mtu imara usiyecheka na wapigaji wa mali za umma. You are a bit naive.Huihitaji mkono wa chuma bali unahitaji taasisi imara na dhamira ya ukweli
Unahitaji akili na sio nguvu ndo maana busara busara/hekima ina nguvu sana ukitumia nguvu au hisia utafeliUnazijengaje taasisi imara bila kuwa mtu imara usiyecheka na wapigaji wa mali za umma. You are a bit naive.
Una safari ndefu sana kujua jinsi taasisi imara, nchi imara zinavyoundwa. Fuatilia historia ya USA, Russia, China, Singapore, South Korea, Japan, UK, na nyingine nyingi nchi zlizoendelea, Taasisi zao zilijengwa na watu wa aina gani?Unahitaji akili na sio nguvu ndo maana busara busara/hekima ina nguvu sana ukitumia nguvu au hisia utafeli
Ahsante kwa maoni yakoUna safari ndefu sana kujua jinsi taasisi imara, nchi imara zinavyoundwa. Fuatilia historia ya USA, Russia, China, Singapore, South Korea, Japan, UK, na nyingine nyingi nchi zlizoendelea, Taasisi zao zilijengwa na watu wa aina gani?
Wewe ni mchanga sana kwenye historiaya dunia.Ahsante kwa maoni yako
Siamini kwenye udictactor naamini kwenye misingi ifuatayoWewe ni mchanga sana kwenye historiaya dunia.
Napoleon akikomesha utawala wa kifalme Ufaraansa. Abraham Lincoln alipambana kuondoa utumwa, Cromwell alipambana kuondoa ufalme usiojali wengine Uingereza. Nchi nyingine fanya research unahitaji dictator mzalendo kama JPM ili nchi ifanikiwe sio dicteta kama Samia kuuza nchi, hana uchungu na taifa la Tanzania.
Dictator ni nini kwa akili yako? Inaweza kutumika for good or ill. It depend on dictator.Siamini kwenye udictactor Ahsante kwa kushiriki
Kama umesoma na bado hujagundua elimu yetu ni fake,na ndio maana hujaiongelea hata kidogo,basi hufai hata kufikiriwa kuwa diwani.###Huku nimechanganya kiswahili na kingereza ###
A- MAONO
Malengo yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni lini sijui ila naamini ntakua Rais. Jina naitwa Dennis R Yesse miaka 32, elimu bachelor of science in economics chuo mzumbe, kwenye uzi huu kama Rais mtarajiwa ntaelezea maono, mipango na sera niliyonayo juu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
B- PROBLEM STATEMENT
Changamoto kubwa inayoikumba Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni kama zifuatazo;-
i) Uwepo wa walipa kodi wachache sababu watu wengi wanajihusisha na informal sekta kwa hiyo wengi hawalipi income tax na kodi nyingine.
ii) Kwa sababu kuna walipakodi wachache imepelekea nchi nyingi kuongeza kodi kwenye vyanzo vilevile na hii imepelekea kuumiza wananchi wengi.
iii) Kiwango cha kodi kinachoongezeka hakiendani na ongezeko kubwa la watu na mahitaji yao hivyo kushindwa kwa serekali kupeleka huduma muhimu za kijamii.
iv) Kwa sababu wigo wa kodi ni mdogo imezilazimu nchi nyingi za africa ikiwemo Tanzania kukopa ili waweze ku-finance budget zao na kuleta changamoto nyingine ya ukuaji mkubwa wa madeni.
SULUHISHO
C- VIWANDA
- Kujenga viwanda zaidi ya 100,000+
Viwanda vinahitaji miundombinu bila ya kuwa na miundombinu ya viwanda ni vigumu sana kwa nchi za afrika kuwa na viwanda sababu hakuna miundombinu ya viwanda ambayo huvutia waekezaji.
C1- SEREKALI LAZIMA IJENGE MIUNDOMBINU YA VIWANDA HAKUNA NJIA YA MKATO
C2- TANZANIA INDUSTRIAL MODE-gharama ndogo sana za uzalishaji, ubora mkubwa na bei ndogo sokoni
- Kosa kubwa sana kwa nchi za kiafrika ni kutokujenga na kumiliki miundombinu ya viwanda- ni hatari sana miundombinu ya viwanda kumilikiwa na wageni au waekezaji binafsi hawa ni rahisi sana kuihujumu.
- Si sawa kwa serekali kuandaa tu sera na kukaa ofisini huku wakisubiri waekezaji mambo sio marahisi hivyo muwekezaji unatakiwa umuelezee ni jinsi gani ni nafuu kuzalisha bidhaa Tanzania na sio nchi nyingine kimahesubu na sio kinadharia.
- Swala la viwanda afrika limekuwa ni kama slogan tu ya kisiasa wala hamna mikakati yeyote ile ya viwanda tunaamini tukitamka mara kwa mara viwanda basi vitaota kama uyoga
- Nchi za gulf zimefanikiwa sababu miundombinu ya viwanda ya kuzalisha mafuta wanamiliki serekali na sio wageni au watu binafsi.
- Nchi za western viwanda vinazidi kupungua kwa speed kubwa sababu miundombinu ya viwanda waliwaachia sekta binafsi na hata serekali zao zimejaribu kuwapa subsidy ila zimewafaidisha wamiliki wa stock wa hizo kampuni.
Changamoto kubwa sana wanayoikumba nchi za magharibi ni model yao ya viwanda walioichagua zamani ya gharama kubwa ya uzalishaji na ubora mkubwa hii imewapa wakati mgumu kwenye soko la bidhaa kutoka mashariki ya mbali ambao gharama ndogo za uzalishaji ubora wa kawaida. Tanzania bidhaa za viwandani zitajikita kwenye kutumia gharama ndogo za uzalishaji, ubora mkubwa, na bei ndogo sokoni
C3- TRADITION INDUSTRIAL FOUNDATION
Tanzania hatukuwahi kuwa na tradition industries mfano aluminium, steel, copper na polymer kwa sababu kiwanda chochote lazima kitumie bidhaa mojawapo sasa kama una import gharama zitaongezeka.
Nikiwa Rais ntafanya mambo yafuatayo kama sehemu ya kujenga miundombinu ya viwanda- serekali itajenga viwanda vifuatavyo na kuvumiliki
Ukiwa na miundombinu hiyo saba ni rahisi sana kuvutia wawekezaji na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda
- Kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata bauxite kutoka zambia na congo ambayo itatoa pure aluminium ya bei nafuu zaidi kwenye soko la dunia, watauziwa wawekezaji wa ndani bei yao itakua chini zaidi ya wale wa nje kwa ajili ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za aluminium.
- Kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata raw copper kutoka zambia na congo na kuwa pure copper cathode za bei ya chini zaidi kwenye soko la dunia, watauziwa wawekezaji wa ndani bei yao itakua chini wa nje itakua juu kidogo kwa ajili ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za copper.
- Kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata iron ore, cooking coal (coke) na limestone na kuwa pig iron za bei ya chini zaidi kwenye soko la dunia, watauziwa wawekezaji wa ndani bei yao itakua chini wa nje itakua juu kidogo kwa ajili ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za steel.
- Kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata cotton, wool, na kuwa yarn zenye ubora na bei bei ya chini zaidi kwenye soko la dunia, watauziwa wawekezaji wa ndani bei yao itakua chini wa nje itakua juu kidogo kwa ajili ya kutengeneza fabrics za aina mbalimbali.
- Kujenga kiwanda kikubwa cha kutengeneza silicon wafer zenye ubora wa hali ya juu, na zitakua na bei ya chini zaidi kwenye soko la dunia, watauziwa wawekezaji wa ndani bei yao itakua chini, wa nje itakua juu kidogo kwa ajili ya kutengeneza chips na semiconductor mbalimbali.
- Kutengeneza oil refinery kubwa ya kuchakata crude oil ambayo itazalisha bidhaa mbalimbali watakaouziwa waekezaji kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali.
- Kutengeneza kiwanda cha kuchakata gold (smelting na refining) kwa bei nafuu sana, na gold yeyote inayozalishwa Tanzania haitashafirishwa kama malighafi tena nje ya nchi kwa ajili ya kufanyiwa smelting na refining.
- Kuwekeza kwenye vocational hasa tool engineering hii itasaidia kuzalisha bidhaa za bei ya chini na zenye ubora
D- MIRADI ENDELEVU
E- KULINDA MIUNDOMBINU YA VIWANDA
- kuongeza megawatts za umeme maradufu na huu utakua mradi endelevu
- Kupima nchi nzima na kuhakikisha kila ujenzi unafuata mipango miji na majengo ya aina mbalimbali yatafuata uniformity ili miji na nchi ipendeze sio kama sahivi kila mtu anajijengea na kufuata ramani yake
Corruption and culture of impunity, kutokua na taasisi imara ni tatizo kubwa sana linaloikumba nchi nyingi za kiafrika na ndo moja ya sababu kubwa sana ya kuendelea kuwa maskini.
Uchumi wa viwanda unahitaji uwepo wa taasisi imara sana tofauti na hapo viwanda hivyo vitakufa.
- Kuwekeza haswa kwenye tafiti za kuongeza ubora na kupunguza gharama za uzalishaji bidhaa Tanzania
- Rais kutokuchagua majaji wa mahakama kuu ili mahakama kuwa huru kumshughulikia yeyote yule atakayejaribu kukwamisha jitihada za viwanda na kuvunja sheria sahivi.
- Dpp kuchaguliwa na wananchi na sio kuteuliwa na Rais hii itampa uhuru wa kufanya kazi zake bila kuingiliwa. Uchumi wa viwanda unahitaji umakini mkubwa sana., DCI, mkuu wa takukuru, kamishna wa kupambana na dawa za kulevya watakua chini ya ofisi ya DPP.
- Msajili wa vyama vya siasa, mkuu wa tume ya uchaguzi kuchaguliwa na umoja wa vyama vya siasa na sio Rais hii itaepusha kuchaguliwa viongozi ambao wanauwezo mdogo na kuondoa hali ya tume ya uchaguzi kupendelea upande mmoja na hii itaepusha sana vurugu za uchaguzi.
Mpaka leo unaamini kilimo ndo kitaitoa nchi hii unasafari ndefu sana kifikraKama umesoma na bado hujagundua elimu yetu ni fake,na ndio maana hujaiongelea hata kidogo,basi hufai hata kufikiriwa kuwa diwani.
Nchi hii inatakiwa kuwa na Rais atakayefikri tofauti sana na sio debate za form two unazotuletea.
Kwanza unatakiwa kuhakikisha kuna chakula cha kutosha,pili kuvunja kabisa mfumo wa elimu uliopo na kuanza mfumo mpya usiofanana kabisa na wa nchi za kimagharibi.
Tatu vijana wote wasio na ajira maalum au kujiajiri na kulipa kodi, wakamatwe wapelekwe mashambani wakalime.Kazi za uchawa marufuku.Vituo vya redio vinatakiwa viwe vichache na usipokuwa na div one form six au GPA ya 4 ya chuo huruhusiwi kutangaza.Wasanii wa muziki wote wapewe mashamba na hakuna kuimba matusi.
Lazima akili za watu zilishwe maneno bora sio ujinga ulio kwenye bongofleva
Unaongelea mihimili mitatu. Mahakama, Serikali, bunge. Unnaona zinafanya kazi?Siamini kwenye udictactor naamini kwenye misingi ifuatayo
Ahsante kwa kushiriki
- Rais kutokuchagua majaji wa mahakama kuu ili mahakama kuwa huru kumshughulikia yeyote yule atakayejaribu kukwamisha jitihada za viwanda na kuvunja sheria sahivi.
- Dpp kuchaguliwa na wananchi na sio kuteuliwa na Rais hii itampa uhuru wa kufanya kazi zake bila kuingiliwa. DPP atachagua wasaidizi wake kwenye kila mkoa na wilaya ambao watakua ni DCI, mkuu wa takukuru, kamishna wa kupambana na dawa za kulevya watakua chini ya ofisi ya DPP., Uchumi wa viwanda unahitaji umakini mkubwa sana.
- Msajili wa vyama vya siasa, mkuu wa tume ya uchaguzi kuchaguliwa na umoja wa vyama vya siasa na sio Rais hii itaepusha kuchaguliwa viongozi ambao wanauwezo mdogo na kuondoa hali ya tume ya uchaguzi kupendelea upande mmoja na hii itaepusha sana vurugu za uchaguzi
Hakuna dikteta anayeamin kwenye mihimili mitatu ya serekaliUnaongelea mihimili mitatu. Mahakama, Serikali, bunge. Unnaona zinafanya kazi?