Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Hakuna dikteta anayeamin kwenye mihimili mitatu ya serekali
Madilteta wote wanaamini kwenye one man show
Wewe unaamini kwenye madikteta mimi naamini kwenye taasisi imara
Sio dictketa binadamu wote wanaamini kwenye one man show as you put it.
Put to some they have greater ideas to help society. Taa sisi zote zinajengwa na watawala, madicketa..
 
Sio dictketa binadamu wote wanaamini kwenye one man show as you put it.
Put to some they have greater ideas to help society. Taa sisi zote zinajengwa na watawala, madicketa..
Ni uongo mkubwa sana kwamba taasisi zote zinajengwa na watawala madikteta

Nigeria ni nchi iliyokuwa na madikteta wengi leo hii iko wapi
America kusini ndo bara liliongozwa na madikteta wengi ila leo nchi nyingi ni maskini
Ulaya mashariki ni eneo lililoongozwa na madikteta wengi ila leo hii ni maskin ukifananisha na ulaya magharibi
 
Ni uongo mkubwa sana kwamba taasisi zote zinajengwa na watawala madikteta

Nigeria ni nchi iliyokuwa na madikteta wengi leo hii iko wapi
America kusini ndo bara liliongozwa na madikteta wengi ila leo nchi nyingi ni maskini
Britain imejengwa na nani? Ufaransa?
 
Msajili wa vyama vya siasa, mkuu wa tume ya uchaguzi kuchaguliwa na umoja wa vyama vya siasa na sio Rais hii itaepusha kuchaguliwa viongozi ambao wanauwezo mdogo na kuondoa hali ya tume ya uchaguzi kupendelea upande mmoja na hii itaepusha sana vurugu za uchaguzi.
 
Kosa kubwa sana kwa nchi za kiafrika ni kutokujenga na kumiliki miundombinu ya viwanda- ni hatari sana miundombinu ya viwanda kumilikiwa na wageni au waekezaji binafsi hawa ni rahisi sana kuihujumu.
 
Wewe na diamond pipa na mfuniko
 
Utakua mtekaji na muuaji wa raia?
Usipende kumsingizia mtu jambo la uongo assume ndo wewe mtu anakuambia muuaji na hana ushahidi wowote ule
Kama una-stress za maisha pambana nazo usitake kumalizia kwa watu
 
Si sawa kwa serekali kuandaa tu sera na kukaa ofisini huku wakisubiri waekezaji mambo sio marahisi hivyo muwekezaji unatakiwa umuelezee ni jinsi gani ni nafuu kuzalisha bidhaa Tanzania na sio nchi nyingine kimahesubu na sio kinadharia.
 
Nikweli mimi nakuunga mkono maana kuna watz ambao hawana vyama vya siasa!

Hawa ambao hawana vyama na wana uwezo waweze pia na wao kugombea urais. Hamna haja yakusema uwe na chama. This is Z'era
 
E-MIRADI YA KIMKAKATI
  • Nchi nzima itapimwa kama sehemu ya kupendezesha miji na kutakua na uniformity ya majengo na nyumba za kuishi na kutakua na park kwenye miji kama sehemu ya watu kupumzikia
  • Kila mkoa kutakua na viwanja viwili kimoja cha mpira na kingine cha olympic
  • Tutaanzisha kilimanjaro open mashindano ya tennis
  • Kilimanjaro marathon tuta-peleka ombi iingie kwenye calender ya diamond league baada ya kuboresha miundombinu
  • Tutaomba Ushiriki na PGA tour mashindano makubwa ya golf baada ya kujenga worldclass golf course
 
Kama ni mwoga ni bora usifungue uzi sababu utaishia kuporomosha matusi
Majasiri wote wanakaribishwa
 
Utafanikishaje sekta zisizo rasmi kuajiliwa kwenye viwanda wakati hawana ujuzi wa kufanya kazi kwenye viwanda
Kwa hali iliyoonekana nafasi za ajira zilizotangazwa na idadi ya watu waliooomba ni wazi kuwa hivi sasa tuna idadi kuuuubwa sana ya skilled na semi skilled pipo Tz.

Ukija kwenye u skilled ndio wa kumwagaaaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…