Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Lengo langu ni kuwa Rais na sio nafasi nyingine
Unafahamu taratibu za kugombea urais Tanzania? Wewe ni mwanachama wa chama gani cha siasa?

Si unafahamu katiba ya sasa hairuhusu mgombea binafsi?

Ulitakiwa ujkite kwanza kwenye kubadili haya mazingira na mfumo ambao hauwezi kutupatia viongozi bora bali bora viongozi! Especially under this current constitution.

We unataka kuwa raisi kuendeleza ujinga wa porojo za maneno matamu ya kwenye makabrasha huku matendo ni ufisadi?
 
Hakuna linaloshindikana hapa duniani
 
Sawa Sasa tunapitaje pitaje mkuu
 
sawa karibu uje ujaze fomu ya maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…