Nina nyumba uswahilini inatengeneza Tsh. 40,000/- kwa mwezi, niendelee au napoteza muda?

Wangoje, Baba wenye Nyumba wenzako wanakuja kukupa muongozo.
 
Kikarabati kidogo au ukiboreshe/extension kiwe na room km 5, weka umeme utaokota 40-50,000 kwa mwezi. Utakuja kunishukuru.
 
Kikarabati kidogo au ukiboreshe/extension kiwe na room km 5, weka umeme utaokota 40-50,000 kwa mwezi. Utakuja kunishukuru.

Nimewaz hivo lakini kwa kule uswazi kutengeneza 50/40 kwa rum uongo mwisho sana 30!! sasa nimewaz kwa iyo ela had ije irudi hela yangu n lini
 
Nimewaz hivo lakini kwa kule uswazi kutengeneza 50/40 kwa rum uongo mwisho sana 30!! sasa nimewaz kwa iyo ela had ije irudi hela yangu n lini
Iongezee thamani kuliko kuiacha.
 
Nyumba ya kupanga mchawi location tu, zaidi ya hapo subiri kama kimji kitakuwa mtu anaweza kuja kuwanunua wote wewe na majirani zako.

Kasikupe stress, fanya tu kama umezika pesa.
 
Uwekezaji wa ardhi au nyumba unahitaj akili kubwa sana ....ila ukifanya kwa tamaa majuto ni makubwa sana coz hela yake kurudi huchukua muda sana, Hapo ulifanya makosa haukujipa muda wa kufanya tathmini .... 5m hapo hairudi mzee ....

Uliyekuuzia aliutua mzigo mkubwa sana
 
Kwakweli
 
Gesti bubu inalipa short time 5,000
 
Weka vitanda /magodoro ya kwako ,kila chumba utapangisha 100,000 X 2 mwezi,kwa mwaka 2,400,0000 si haba.
 
Location wap mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…