Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

Kama wewe Ni mkristo,,, imeandikwa 'Azinie na mwanamke Hana akili kbs afanya Jambo litakalo mwangamiza nafsi yake' pia imeandikwa Walevi hawataurithi Ufalme wa Mbinguni!!!! Chaguo Ni lako hapo mkuu
Dah sasa hapo mbingu kuiona ni ngumu
 
Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.

Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje?

Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha uzinzi,
mwamposa ameharibu sana kizazi hiki, na moto anaoandaliwa ni wa peke yake huko jehanum.
 
Back
Top Bottom